Ushirika Kamili

Ushirika kamili ni msamiati wa teolojia ya Ukristo kuhusu Kanisa.

Unamaanisha umoja kamili kati ya madhehebu mbalimbali kwa msingi wa imani ileile inayoyawezesha kushirikiana kikamilifu katika ibada na hasa ekaristi na sakramenti nyingine.

Unatumika na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa mashariki, ukitofautishwa na ushirika usio kamili au wa kiasi tofautitofauti uliopo kati ya Wakristo wa aina zote kadiri wanavyozidi kusadiki mambo yaleyale ya msingi zaidi (kama vile Utatu mtakatifu, umungu wa Yesu Kristo na ufufuko wake), ingawa wanapishana katika mengine (hasa Kanisa na sakramenti).

Dhana ya ushirika kamili hutumiwa pia kutaja uhusiano baina ya makanisa ya Jumuiya Anglikana na pia kati ya makanisa mengine ya Kiprotestanti ambayo yameamua kutambuana na kushirikiana moja kwa moja.

Tanbihi

Viungo vya nje

Ushirika Kamili  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ushirika kamili kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KanisaMsamiatiTeolojiaUkristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vivumishi vya sifaRafikiVirusi vya UKIMWIKitenzi kishirikishiInjili ya MathayoUsanisinuruVAishi ManulaUkimwiSkeliSumbawanga (mji)KunguruShambaNgome ya YesuMasharikiDiraUyogaUzalendoMazingiraWanyaturuDiamond PlatnumzTungo sentensiAli Mirza WorldMshororoVitenzi vishiriki vipungufuKen WaliboraJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoFarasiInternet Movie DatabaseFani (fasihi)PesaAdhuhuriIsraelOrodha ya Magavana wa TanganyikaFeisal SalumUgirikiKadi za mialikoMbuniMnyamaMungu ibariki AfrikaTendo la ndoaUsikuOrodha ya milima mirefu dunianiBenderaUtalii nchini KenyaMunguMalipoKaizari Leopold IMafumbo (semi)PundaAmri KumiBilioniMkoa wa Dar es SalaamEverest (mlima)BabeliHarmonizeJomo KenyattaHoma ya iniHewaDakuKenyaMuundoSamliHistoria ya KenyaMrisho NgassaVita ya Maji MajiMfupaMkoa wa ManyaraKwaresimaAdolf HitlerChadNenoUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaBendera ya Tanzania🡆 More