Wamaroni ni sehemu kubwa mojawapo ya watu wa Lebanoni, lakini siku hizi wengi zaidi wanaishi nje ya nchi hiyo asili.
Kinachowatambulisha zaidi, pamoja na historia yao, ni imani ya Kikristo katika Kanisa la Wamaroni, ambalo lina ushirika kamili na Papa wa Roma na Kanisa Katoliki lote duniani, ingawa linafuata mapokeo ya Antiokia.
Wanakadiriwa kuwa 3,500,000.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wamaroni kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Wamaroni, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.