Radoni

Radoni (kut. kilatini "radius" (mshale) kwa sababu ya unururifu wake) ni elementi yenye namba atomia 86 na uzani wa atomi 222. Alama yake ni Rn.

Radoni
mizingo elektroni ya atomi ya radoni
mizingo elektroni ya atomi ya radoni
Jina la Elementi Radoni
Alama Rn
Namba atomia 86
Mfululizo safu Gesi adimu
Uzani atomia 222
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka (202 K (−71.15  °C)
Kiwango cha kuchemka 211.3 K (−61.85 °C)
Asilimia za ganda la dunia 6 · 10-16 %
Hali maada gesi

Tabia

Radoni ni kati ya gesi adimu hivyo haimenyuki na elementi nyingine.

Si elementi ya kudumu kutokana na unururifu wake na nusumaisha yake ni siku 3.8 pekee. Inajitokeza mara kwa mara kutokana na mbunguo wa Radi.

Ni gesi nzoto hivyo haipandi sana juu kwenye angahewa bali kukaa chini. Hii ni sababu ya kwamba hukunsayika polepole ndani ya nyumba ambako madirisha na milango haifunguliwi. Hapa unururifu inaweza kuwa hatari ya afya.

Radoni  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Radoni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vivumishi vya kumilikiInsha za hojaWamasaiDuniaMkunduMkwawaIsimuDhamiraSakramentiJokate MwegeloLilithMagonjwa ya kukuIndonesiaLahajaJulius NyerereMafumbo (semi)Mkoa wa DodomaArusha (mji)Mapambano kati ya Israeli na PalestinaNahauWahaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiYoung Africans S.C.Maudhui katika kazi ya kifasihiRufiji (mto)Kupatwa kwa JuaSensaAfrika KusiniViwakilishi vya idadiLugha za KibantuLatitudoSimuDivaiMuundo wa inshaTanganyika (ziwa)YouTubeBendera ya ZanzibarWingu (mtandao)Lady Jay DeeKiambishi awaliBaraMkanda wa jeshiNomino za jumlaDubai (mji)Kitenzi kikuuTawahudiAla ya muzikiOrodha ya kampuni za TanzaniaRiwayaTamathali za semiJose ChameleoneWahadzabeUtamaduniUtumwaNguruweFananiMange KimambiHerufiWanyamaporiUNICEFJamhuri ya Watu wa ZanzibarJoyce Lazaro NdalichakoUmoja wa AfrikaMaktabaRitifaaWasukumaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya vitabu vya BibliaShukuru KawambwaUmoja wa MataifaNomino za kawaidaBarua rasmiPalestinaBendera ya KenyaAbrahamu🡆 More