Sifongo-Bahari

Ngeli 4:

Sifongo-bahari
Sifongo kijani (Aplysina aerophoba)
Sifongo kijani (Aplysina aerophoba)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Nusuhimaya: Parazoa
Faila: Porifera
Ngazi za chini

  • Calcarea
  • Hexactinellida
  • Demospongiae
  • Homoscleromorpha

Sifongo-bahari ni wanyama sahili wa maji (bahari na baridi) katika faila Porifera (maana: walio na vinyweleo) ambao wamekazika chini, ijapokuwa spishi chache zinaweza kwenda kwa mbio wa mm 1-4 kwa siku. Spishi nyingi sana zina umbo wa yai, bonge au bomba. Kuna kipenyo kikubwa kiasi juu yao (osculum au kidomo) na vinyweleo vidogo vingi (ostia) kila sehemu ya mwili.

Sifongo-Bahari
Muundo wa sifongo-bahari; njano: pinakositi, nyekundu: koanositi, kijivu: mesohili, samawati: mtiririko wa maji.

Mwili wa sifongo ni ukuta wa seli tu ambao unazunguka uwazi wa katikati. Ukuta huu umeumbwa kwa tabaka la kolajini (collagen) au mesohili (mesohyl) lililofunikwa na seli nje na ndani. Hata vinyweleo vimezungukwa na seli zinazoitwa porositi (porocytes). Seli zenye kijeledi (flagellum), ambazo huitwa koanositi (choanocytes), zisukuma maji kuelekea osculum na maji mengine yaingia kupitia ostia. Chembe za kulika zilizomo majini ziliwa kwa phagocytosis.

Picha

Sifongo-Bahari  Makala hiyo kuhusu "Sifongo-bahari" inatumia jina ambalo halijakuwepo kwa lugha ya Kiswahili. Jina hili linapendekezwa kwa jina la mnyama huyu au wanyama hawa amba(ye)(o) ha(wa)na jina kwa sasa.

Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili hazina jina kwa mnyama huyu au wanyama hawa.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMkoa wa KataviUandishi wa ripotiStadi za lughaTungoImani28 MachiMikoa ya TanzaniaLigi ya Mabingwa AfrikaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuIdi AminMalawiMakabila ya IsraeliOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaKifua kikuuBendera ya TanzaniaOrodha ya vitabu vya BibliaPasaka ya KikristoMaambukizi nyemeleziAina ya damuBikira MariaKimondo cha MboziUtamaduniMalipoThe MizMwanzoDubaiNdegeOrodha ya Watakatifu wa AfrikaDini nchini TanzaniaLugha ya programuOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaLilithChatGPTOrodha ya wanamuziki wa AfrikaKiboko (mnyama)Mwenge wa UhuruArsenal FCAnna MakindaNominoChawaTunu PindaMohammed Gulam DewjiKunguniWamasoniTreniKisimaUundaji wa manenoAngahewaMjasiriamaliShirikisho la Afrika MasharikiKukuMbuniNzigeLugha za KibantuOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaMwanaumeSenegalMike TysonCAFMwakaAbedi Amani KarumeUsultani wa ZanzibarUgonjwa wa uti wa mgongoNdege (mnyama)Historia ya KanisaWilaya ya KilindiHektariKilimanjaro (Volkeno)Shinikizo la juu la damuMeta PlatformsUgonjwa wa moyo🡆 More