Ponto (kwa Kigiriki: Πόντος, Pontos) ilikuwa eneo la kaskazini mashariki mwa rasi ya Anatolia (leo nchini Uturuki) kwenye Bahari Nyeusi.
Inatajwa na Biblia ya Kikristo katika Waraka wa kwanza wa Petro 1:1 na katika Matendo ya Mitume 2:9 na 18.2.
40°36′N 38°00′E / 40.6°N 38.0°E
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ponto kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ponto, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.