Papa Eugenio I

Papa Eugenio I alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Agosti 654 hadi kifo chake tarehe 2 Juni 657.

Alitokea Roma, Lazio, Italia. Baba yake aliitwa Rufinianus.

Papa Eugenio I
Papa Eugenio I.

Alimfuata Papa Martin I akafuatwa na Papa Vitalian.

Serikali ya Dola la Roma Mashariki ilimpitisha kwa kudhani atakubali kuunga mkono uzushi uliofundisha kuwa Yesu hakuwa na utashi wa kibinadamu, kumbe mapadri walimlazimisha kushika msimamo wa mtangulizi wake aliyepelekwa uhamishoni akafa huko.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 2 Juni..

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • The Book of Saints, by the Ramsgate Benedictine Monks of St. Augustine's Abbey

Viungo vya nje

Papa Eugenio I  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Eugenio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Papa Eugenio I Tazama piaPapa Eugenio I TanbihiPapa Eugenio I MarejeoPapa Eugenio I Viungo vya njePapa Eugenio I10 Agosti2 Juni654657BabaItaliaKifoLazioPapaRomaTarehe

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Utegemezi wa dawa za kulevyaUlemavuEverest (mlima)Saratani ya mlango wa kizaziKiburiChe GuevaraUchambuzi wa SWOTLatitudoShelisheliUjerumaniHakiMwezi (wakati)DaktariKifua kikuuShairiMkoa wa SongweMfumo wa lughaViwakilishiJuaPopoTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaSkeliUtamaduni wa KitanzaniaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaBiblia ya KikristoUlayaUbatizoKen WaliboraAzimio la ArushaJinsiaEswatiniMeliVitamini CMivighaMafurikoUshogaGeorDavieSaida KaroliIraqBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiNyanja za lughaViwakilishi vya sifaTimu ya Taifa ya Kandanda ya KenyaJulius NyerereNathariOrodha ya shule nchini TanzaniaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaInjili ya LukaRaila OdingaFonetikiAfrika KusiniWachaggaNomino za wingiMalaikaVielezi vya mahaliMuziki wa dansi wa kielektronikiNomino za jumlaSiasaKoloniUmaskiniVita Kuu ya Kwanza ya DuniaBinadamuWakingaMusaShomari KapombeOrodha ya makabila ya KenyaNahauMsumbijiTashihisiJinaMzeituniUkabailaMtandao wa kompyutaChris Brown (mwimbaji)Mkoa wa MbeyaMfumo wa upumuajiKongosho🡆 More