Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Papa" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Kwa samaki anayeitwa kwa Kiswahili "papa" tazama papa (samaki) Papa (neno la mkopo kutoka Kilatini lakini lenye asili ya Kigiriki, πάππας, pappas, jina... |
Papa Konstantin alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Machi 708 hadi kifo chake tarehe 9 Aprili 715. Alitokea Syria. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Constantinus... |
Papa Vigilio alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Machi 537 hadi kifo chake tarehe 7 Juni 555. Alitokea Roma, Italia. Alimfuata Papa Silverio akafuatwa na Papa... |
Papa Caio alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Desemba 283 hadi kifo chake tarehe 22 Aprili 296. Alitokea Dalmatia, leo nchini Korasya. Alimfuata Papa Eutychian... |
Papa Konon alikuwa Papa kuanzia tarehe 23 Oktoba 686 hadi kifo chake tarehe 21 Septemba 687. Alimfuata Papa Yohane V akafuatwa na Papa Sergio I. Orodha... |
Papa Zephyrinus alikuwa papa kuanzia takriban 198 hadi kifo chake tarehe 20 Desemba 217/218. Alitokea Roma, Italia. Alimfuata Papa Vikta I akafuatwa na... |
Papa Nikolasi III (1210/1220 – 22 Agosti 1280) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Novemba/26 Desemba 1277 hadi kifo chake. Alitokea Roma, Italia. Jina lake... |
Papa Sisinnio alikuwa Papa kwa wiki tatu tu kuanzia tarehe 15 Januari 708 hadi kifo chake tarehe 4 Februari 708. Alitokea Syria. Alimfuata Papa Yohane... |
Papa Celestino IV (alifariki 10 Novemba 1241) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25/28 Oktoba 1241 hadi kifo chake. Alitokea Milano, Italia. Jina lake la kuzaliwa... |
Papa Valentino alikuwa Papa kwa wiki chache tu kuanzia mwezi Agosti 827 hadi kifo chake mnamo Septemba 827. Alitokea Roma, Lazio, Italia. Alimfuata Papa... |
Papa Eugenio II alikuwa Papa kuanzia Februari/Mei 824 hadi kifo chake mnamo Agosti 827. Alitokea Roma, Lazio, Italia. Alimfuata Papa Paskali I akafuatwa... |
Papa Nikolasi V (15 Novemba 1397 – 24 Machi 1455) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6/19 Machi 1447 hadi kifo chake. Alitokea Sarzana, Italia. Jina lake la kuzaliwa... |
Papa Agapeto II alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Mei 946 hadi kifo chake mnamo Desemba 955. Alitokea Roma, Lazio, Italia. Jina lake la kuzaliwa halijulikani... |
Papa Callixtus II (alifariki 13/14 Desemba 1124) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2/9 Februari 1119 hadi kifo chake. Alitokea Burgundy, leo nchini Ufaransa... |
Papa Theodor II alikuwa Papa kwa siku ishirini tu hadi kifo chake mwezi wa Desemba 897 au Januari 898. Alitokea Roma, Lazio, Italia. Jina lake la kuzaliwa... |
Papa Boniface IX (1356 – 1 Oktoba 1404) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2/9 Novemba 1389 hadi kifo chake. Alitokea Napoli, Italia. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa... |
Papa Klementi IV (23 Novemba mwaka usiojulikana – 29 Novemba 1268) alikuwa Papa kuanzia tarehe 5/22 Februari 1265 hadi kifo chake. Alitokea Saint-Gilles... |
Papa Urban IV (takriban 1195 – 2 Oktoba 1264) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Agosti/4 Septemba 1261 hadi kifo chake. Alitokea Troyes, Ufaransa. Jina lake... |
Papa Celestino II (alifariki 8 Machi 1144) alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Septemba/3 Oktoba 1143 hadi kifo chake. Alitokea Città di Castello, Italia.... |
Papa Eugenio IV, Can.Reg. (1383 – 23 Februari 1447) alikuwa Papa kuanzia tarehe 3/11 Machi 1431 hadi kifo chake. Alitokea Venezia, Italia. Jina lake la... |