Katika hisabati, mgawanyiko (kwa Kiingereza: division) ni moja ya uendeshaji wa hesabu nne (pamoja na jumla, utoaji na dharuba).
Mgawanyiko ni kinyume cha dharuba. Alama ya mgawanyiko ni "/" au ""
Kwa usahihi, mgawanyiko ni mchakato wa kuhesabu idadi ya mara ambazo namba fulani inapatikana ndani ya namba nyingine. Kwa mfano, 20/4 = 5 kwa sababu tunaweza kuweka namba "4" mara tano ndani ya namba "20".
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mgawanyiko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mgawanyiko, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.