Mchoro mdogo ni mchoro uliofanyika hasa katika vitabu vilivyoandikwa kwa mkono.
Kuanzia karne ya 16, hasa Uingereza na Ufaransa, matajiri walipenda kuchorwa namna hiyo hadi ilipobuniwa kamera katikati ya karne ya 19. Lengo lilikuwa kujitambulisha kwa watu wa mbali, kwa mfano kwa ajili ya ndoa, au kuwa na kumbukumbu ya mtu mpendwa wakati wa kuwa mbali naye.
Udogo wa mchoro ulifikia pengine mm 40 × 30.
|date=
(help)Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mchoro mdogo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mchoro mdogo, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.