Mapambo Ya Vito

Mapambo ya vito ni vitu vya nakshi ambavyo huvaliwa katika mwili au hata katika nguo alizovaa mtu.

Jina hilo hutumiwa kwa vitu vyovyote vilivyompamba mtu.

Mapambo Ya Vito
Mmasai mwanamume wa Kenya aliyejipamba kadiri ya utamaduni wa kabila lake.

Vinatumiwa hasa na wasichana, wanamitindo waliobobea katika fasheni, lakini wanaume pia huwa na mapambo yao.

Kazi yake

Mapambo hayo huvaliwa kwa malengo tofauti kama vile:

  • Kuonyesha kwamba mtu anajiweza, ni tajiri, mwenye uwezo wa kujipamba kwa vito
  • Kwa kuonekana mwenye kupendeza, kwa mfano kikuba hushika nywele vizuri
  • Katika jamii fulani, kwa kumlinda mtu kutokana na ulozi au uchawi
  • Kwa kuonyeshana kwamba ni mmoja wa kikundi fulani cha jamii au dini.

Aina zake

Viungo vya nje

Mapambo Ya Vito  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mapambo ya vito kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JinaKituMwiliNakshiNguo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UislamuUandishiKiambishi tamatiMkoa wa PwaniHafidh AmeirMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaChemsha BongoTume ya Taifa ya UchaguziFasihiOrodha ya Marais wa MarekaniMtemi MiramboMburahatiMkanda wa jeshiSimba (kundinyota)Historia ya ZanzibarSalim Ahmed SalimBawasiriWanyama wa nyumbaniHistoria ya KiswahiliNishati ya mwangaTulia AcksonAfrika ya Mashariki ya KijerumaniSeli za damuUkristo barani AfrikaMkopo (fedha)Wilaya ya KigamboniMlima wa MezaMlo kamiliTabainiChuo Kikuu cha Dar es SalaamUgonjwa wa kuharaJohn MagufuliShinikizo la juu la damuUbunifuHaki za watotoKamusiMkoa wa ShinyangaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMilaAfro-Shirazi PartyOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMoscowTanganyika African National UnionAthari za muda mrefu za pombeMvuaChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)Iyumbu (Dodoma mjini)Mtakatifu MarkoMwakaVivumishi vya pekeeMkutano wa Berlin wa 1885VisakaleUjimaMnyamaKishazi huruMwanzoUgaidiBendera ya ZanzibarUandishi wa inshaFigoLugha ya isharaSanaaAfrika KusiniViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)NusuirabuUchawiLugha za KibantuMbooMafua ya kawaidaMkoa wa RuvumaUfupishoWilaya ya Arusha🡆 More