Leza

Leza (kutoka Kiingereza laser, akronimi ya fungu la maneno Light Amplification by Stimulated Emission of Radiation) ni chombo cha kukuza na kushadidisha miali kuelekea upande mmoja kutengeneza mwangaza leza.

Leza
Leza Nyekundu(660 & 635 nm), kijani(532 & 520 nm) na bluu (445 & 405 nm)

Kifaa hiki ni maalumu, si kama taa nyingine za kutoa mwangaza na miali yake ina matumizi mengi.

Historia

Leza ina historia kubwa na ni mojawapo wa nyanja zilizofanyiwa utafiti mkubwa tangu mwaka 1917. Utafiti wa leza umekua kutokana na utafiti wa mnururisho (radiation) na utafiti wa usumakuumeme (electromagnetism).

Manufaa ya leza

Leza ina matumizi mengi yakiwemo:

  • Burudani - inatumika kwa vifaa vinavyosoma vijisahani rekodi (disc drives) na vifaa zinazotoa miali ya rangi tofautitofauti katika nyumba za burudani
  • Biashara kwa vifaa kama vile vya kupiga chapa, vya kupima joto vya leza, vielekezi leza na vinginevyo
  • Viwandani kutengeneza vifaa vya leza vya kukata, kuchomelea, kupima urefu kidijiti, kutia alama vitu na kuchomea vitu zinazoundwa kwa joto
  • Mawasiliano - kupeperusha mawimbi ya runinga na intaneti
  • Usalama - katika ala za vita hasa tochi za kulenga shabaha katika vifaa vya kivita kama vile bunduki za kisasa, kuelekeza kombora za kisasa
  • Matibabu - kufanya operesheni isiyo ya upasuaji
  • Upodozi - kufanya operesheni zisizo za upasuaji za kubadilisha umbile ili kuongeza urembo kama vile operesheni ya lipo ya leza (ijulikanayo kwa Kiingereza kama "Liposuction") inayopunguza mafuta mwilini. Operesheni ya lipo hufanywa na mashine ya lipo ya leza ambayo ilibatilisha mfumo wa zamani wa operesheni ya lipo ambao watu walifanyiwa upasuaji.

Tanbihi

Marejeo

Leza  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Leza HistoriaLeza Manufaa ya lezaLeza TanbihiLeza MarejeoLezaKiingerezaMwali

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kitenzi kishirikishiNguruwe-kayaHistoria ya IranJava (lugha ya programu)Insha ya wasifuWangoniRoho MtakatifuTaswira katika fasihiFani (fasihi)Saidi NtibazonkizaVitamini CWingu (mtandao)WayahudiYouTubeChristopher MtikilaLeonard MbotelaMawasilianoWakingaVivumishi vya idadiJakaya KikweteUbaleheViwakilishi vya idadiViwakilishi vya kumilikiVichekeshoHadithi za Mtume MuhammadPasakaUkimwiMaudhuiMartha MwaipajaJacob StephenIsimujamiiUtumbo mpanaKonyagiUandishi wa barua ya simuHussein Ali MwinyiJumuiya ya MadolaWajitaKenyaBawasiriKilimoSomo la UchumiVasco da GamaTawahudiWanyakyusaDivaiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniOrodha ya Marais wa MarekaniShikamooTambikoMwana FAWizara ya Mifugo na UvuviMtaalaMizimu25 ApriliWashambaaWilaya ya TemekeElimuKisukuruWilaya ya KinondoniSimba (kundinyota)Martin LutherMamaAbrahamuKiolwa cha anganiUfugaji wa kukuNimoniaMbagalaTiktokZiwa ViktoriaMnara wa BabeliOrodha ya makabila ya KenyaRufiji (mto)🡆 More