Usalama (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: security) ni hali ya kutokuwa na vurugu au hatari kwa mtu au jamii.
Kujisikia salama ni kati ya haja za msingi za nafsi, hivyo kuhakikisha usalama wa ndani na nje ni kati ya majukumu muhimu zaidi ya serikali, ambayo kwa ajili hiyo inatumia jeshi, polisi n.k.
Utovu wa usalama ni kati ya sababu kuu za watu kuhama nchi yao kama [[wakimbizi] .
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Usalama, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.