Kitabu Cha Sefania

Kitabu cha Sefania ni kimojawapo kati ya vitabu vya Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania), hivyo kinapatikana pia katika Agano la Kale ambalo ni sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo.

Kitabu Cha Sefania
Sefania akiwahubiria watu (mchoro wa huko Ufaransa, karne ya 16.

Kutokana na ufupi wake kimepangwa tangu kale kati ya vitabu 12 vya Manabii Wadogo.

Mhusika

Nabii Sefania, mtu wa Yerusalemu alihubiri kwa nguvu (640-625 hivi K.K.) mwanzoni mwa utawala wa mfalme Yosia, kabla huyo hajaanza urekebisho wake wa kidini uliofuata kuvumbua katika hekaluni maandiko ya Kumbukumbu la Sheria.

Ujumbe

Pamoja na kutisha kwa matabiri yake, aliahidi wokovu kwa mabaki ya Israeli, akisema watakuwa watu maskini na walioonewa (3:9-20).

Ndio mwanzo wa imani ya kuwa wapenzi wa Mungu ni hasa mafukara, atakavyosisitiza Yesu (Lk 6:20-21).

Ufafanuzi

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Marejeo

  • Berlin, Adele. Zephaniah: A New Translation with Introduction and Commentary. The Anchor Bible Volume 25A. Toronto: Doubleday, 1994.
  • Easton's Bible Dictionary, 1897.
  • Kitabu Cha Sefania  Faulhaber, M. (1913). "Sophonias (Zephaniah)". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. Transcribed by Thomas M. Barrett. 2003.
  • Hirsch, Emil G. & Ira Maurice Price. "Zephaniah." JewishEncyclopedia.com. 2002.
  • LaSor, William Sanford et al. Old Testament Survey: the Message, Form, and Background of the Old Testament. Grand Rapids: William B. Eerdmans, 1996.
  • O. Palmer Robertson — The Books of Nahum, Habakkuk, and Zephaniah (New International Commentary on the Old Testament, 1990)
  • Sweeney, Marvin A. Zephaniah: A Commentary. Ed. Paul D. Hanson. Minneapolis, Fortress Press, 2003.

Viungo vya nje

Vitabu vya Agano la Kale

Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki

Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.

Kitabu Cha Sefania  Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitabu cha Sefania kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Kitabu Cha Sefania MhusikaKitabu Cha Sefania UjumbeKitabu Cha Sefania UfafanuziKitabu Cha Sefania MarejeoKitabu Cha Sefania Viungo vya njeKitabu Cha SefaniaAgano la KaleBiblia ya KiebraniaBiblia ya KikristoTanakhVitabu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

JumaAli KibaHistoria ya TanzaniaShahawaViwakilishiShabaniSimu za mikononiWahaAishi ManulaKilimoMeliJamhuri ya Watu wa ChinaMagonjwa ya kukuUsafi wa mazingiraLigi ya Mabingwa AfrikaRushwaKinyongaUlayaEngarukaJVitenzi vishiriki vipungufuTowashiUislamuTiba asilia ya homoniNamibiaMaharagweSiasaMwislamuChumaUtamaduni wa KitanzaniaUtumbo mpanaMarie AntoinetteAina za manenoMweziClatous ChamaVincent KigosiKito (madini)John Raphael BoccoBaraWabena (Tanzania)KukuMkoa wa ArushaWizara za Serikali ya TanzaniaHerufiMzabibuUgirikiMadhara ya kuvuta sigaraUtegemezi wa dawa za kulevyaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaAfyaUkoloniKenyaUjimaHeshimaMautiMabantuSayari ya TisaUturukiJipuSamia Suluhu HassanWachaggaMamaliaUaminifuIniMichezoVivumishi vya -a unganifuMsumbijiMbwana SamattaMizimuMbeguMavaziOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaMohammed Gulam DewjiKatibuMethaliAzziad Nasenya🡆 More