Kiestonia

Kiestonia ni lugha ya Kifini-Kiugori nchini Estonia na Ufini inayozungumzwa na Waestonia.

Ni lugha rasmi ya Estonia. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kiestonia nchini Estonia imehesabiwa kuwa watu 1,040,000. Pia kuna wasemaji 33,100 nchini Ufini (2013).

Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiestonia iko katika kundi la Kifini. Wengine huangalia Kivõro kuwa lahaja ya Kiestonia badala ya lugha tofauti.

Viungo vya nje

Kiestonia  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiestonia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

EstoniaLugha rasmiLugha za Kifini-KiugoriUfini

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

FasihiIbadaKumaSomaliaLuhaga Joelson MpinaShinikizo la juu la damuKipandausoTrilioniUlumbiRamaniBumbuliNdiziLigi Kuu Tanzania BaraMfumo katika sokaNamba tasaKadi za mialikoFonolojiaNembo ya TanzaniaVielezi vya mahaliKihusishiNafsiHistoria ya WasanguKiambishiMkoa wa GeitaUnyevuangaFani (fasihi)NominoSayariMaghaniTamathali za semiRisalaSomo la UchumiYesuRufiji (mto)UkabailaBara la AntaktikiUgonjwa wa uti wa mgongoUhifadhi wa fasihi simuliziLigi Kuu Uingereza (EPL)Aina za manenoTasifidaKitenzi kikuuTanganyika (ziwa)Orodha ya Marais wa TanzaniaPemba (kisiwa)BogaReli ya TanganyikaKongoshoMazoezi ya mwiliMishipa ya damuFananiKonsonantiHoma ya manjanoMuundoIsraeli ya KaleKishazi huruNdovuAmfibiaJulius NyerereHarmonizeVyombo vya habariMachweoKiswahiliLafudhiTashihisiAthari za muda mrefu za pombeMlongeShengNgiriJuxViwakilishiUchumiKata (maana)MariooUkoloni🡆 More