Tallinn

Tallinn ni mji mkuu na pia mji mkubwa wa Estonia mwenye wakazi 410,000.

Iko mwambaoni wa Ghuba ya Ufini ya Baltiki na bandari yake ni bandari kuu ya nchi.

Tallinn
Minara ya Tallinn jinsi inavyoonekana kutoka bandari

Tallinn inajulikana kwa mji wa kale ulioingizwa na UNESCO kastika orodha la urithi wa dunia.

Historia yake ni ya karne nyingi. Kwa Zama za Kati ilikuwa mji mwanachama wa shirikisho la Hanse ijatajirika kutukana na biashara kati ya Urusi, Skandinavia na Ujerumani.

Tangu 1918 Tallinn imekuwa mji mkuu wa Estonia huria.

1940 mji pamoja na nchi yote vilivamiwa na jeshi la Kisovyeti ikawa mji mkuu wa Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiestonia hadi 1991 halafu tena mji mkuu wa Estonia huria.

Picha za Tallinn

Tallinn  Makala hii kuhusu maeneo ya Estonia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tallinn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BaltikiEstoniaGhuba ya UfiniMji mkuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMaigizoLingua frankaSentensiMkoa wa LindiDNAMajira ya mvuaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMadhehebuViwakilishi vya urejeshiBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiIsimuWamasoniMwanza (mji)KumaTashihisiDemokrasiaMkoa wa Dar es SalaamBarua pepeTafsiriPapaBorussia DortmundAbedi Amani KarumeUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKukuMethaliHoma ya iniMadiniKombe la Dunia la FIFAAmfibiaOrodha ya Marais wa BurundiUlayaMahakama ya TanzaniaAmri KumiMkoa wa KageraLigi Kuu Uingereza (EPL)NdiziFamiliaBarua rasmiRufiji (mto)NgonjeraUzazi wa mpangoTreniMkoa wa PwaniMizimuJogooWizara za Serikali ya TanzaniaHistoria ya IsraelMweziIbadaAfyaMahakamaKaswendeMkoa wa TaboraInsha ya kisanaaMariooKifua kikuuBabeliMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMakabila ya IsraeliMaghaniUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaNyumba ya MunguKanga (ndege)BundiAsidiCristiano RonaldoLahaja za KiswahiliNenoAfrika ya Mashariki ya Kijerumani🡆 More