Shekhe Kaluta Amri Abeid (mkoa wa Kigoma, 1924 - 1 Januari 1964) alikuwa meya wa kwanza Mwafrika na mwanasiasa pamoja na mhubiri wa dini.
Kwa jina la utani la kishairi alikuwa akijulikana kama Adili, lakini katika kipindi cha utoto wake baba yake alipenda kumuita kwa jina la Simba wa Lumona , kama ilivyo kwa washairi wengi kutumia majina ya utani au lakabu.
Baba yake alijulikana kama Abeid Kaluta na mama yake alijulikana kama Joha Kakolwa,
Uwanja maarufu wa mpira katika mkoa wa Arusha hujulikana kama uwanja wa kumbukumbu wa Shekhe Amri Abeid, ni uwanja ulopewa jina la mwanasiasa na mshairi huyu mkubwa nchini Tanzania .
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kaluta Amri Abeid, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.