Uwanja Wa Michezo Wa Kumbukumbu Ya Shekhe Amri Abeid

Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid ni uwanja wa michezo uliopo katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania.

Uwanja huu hutumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu (soka) mchezo wa kwanza wa Futboli ya Kimarekani nchini Tanzania ulionyeshwa katika uwanja huu, ni uwanja wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 20,000.

Uwanja huu ulipewa jina hili ili kumuenzi Meya wa kwanza muafrika Kaluta Amri Abeid.

Marejeo

Uwanja Wa Michezo Wa Kumbukumbu Ya Shekhe Amri Abeid  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Mkoa wa ArushaTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mbuga za Taifa la TanzaniaMahindiTungo kishaziNg'ombeWamatengoNamba ya mnyamaJumuiya ya MadolaMbuniKonsonantiAyra StarrCherehaniJay MelodyMishipa ya damuAdhuhuriNgono zembeUbakajiRisalaMr. BlueArusha (mji)Maambukizi ya njia za mkojoNuktambiliShirika la Utangazaji TanzaniaAPasakaDhima ya fasihi katika maishaMkoa wa RuvumaUnyakuoNambaSamakiMarekaniOrodha ya viongoziNziKunguruMohamed HusseinBarack ObamaNyegeMisriHistoria ya WapareOrodha ya kampuni za TanzaniaVieleziMnara wa BabeliHistoria ya AfrikaZabibuWairaqwKhadija KopaKihusishiClatous ChamaBaraHofuMapinduzi ya ZanzibarMofimuOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoDubaiMwalimuPapaAfrika KusiniWarangiMlongeKiarabuAli KibaKinembe (anatomia)Wanu Hafidh AmeirFacebookJamhuri ya ChinaUhuruHistoriaUwanja wa Taifa (Tanzania)Maumivu ya kiunoWanyamweziHortense Aka-AnghuiUkristoAmri KumiKiimboChakulaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaRicardo KakaKuku Mashuhuri TanzaniaKitenzi🡆 More