Jimbo La Tigray

Jimbo la Tigray (pia: Tigre) ni jimbo la Ethiopia ya kaskazini na sehemu za nyanda za juu.

Jimbo La Tigray
Tigray, Ethiopia



ትግራይ ክልል
Jimbo la Tigray
Jimbo La Tigray
Bendera
Mahali paትግራይ ክልል Jimbo la Tigray
Mahali paትግራይ ክልል
Jimbo la Tigray
Mahali pa Jimbo la Tigray katika Ethiopia.
Nchi Bendera ya Ethiopia Ethiopia
Mji mkuu Mek'ele
Eneo
 - Jumla 50,078 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - Wakazi kwa ujumla 4.334.996
Jimbo La Tigray
Kilimo.

Makao makuu ni Mekelle.

Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kitigre au Kitigrinya. Idadi kubwa hufuata Ukristo wa Waorthodoksi wa mashariki, lakini kuna Waislamu pia.

Waziri Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi alikuwa mwenyeji wa Tigray.

Mji muhimu wa kihistoria ni Aksum ambapo ni chanzo cha Ethiopia.

Mji wa Adowa upo Tigray vilevile. Mwaka 1896 uvamizi wa Italia ulishindikana katika mapigano ya Adowa.

Jimbo La Tigray Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Tigray kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Majimbo ya Ethiopia
Bandera ya Ethiopia
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray

Tags:

Jimbo la EthiopiaKaskaziniNyanda za juu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

PunyetoJoseph ButikuNusuirabuNambaJohn MagufuliMimba kuharibikaKonsonantiMzabibuFamiliaKiambishi tamatiMsituUlayaVisakaleUfugajiJose ChameleoneMungu ibariki AfrikaKitenzi kikuu kisaidiziMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaMkuu wa wilayaMuhammadRitifaaViwakilishi vya kumilikiMkoa wa ManyaraWanyamaporiUkristo nchini TanzaniaLady Jay DeeDar es SalaamKataFasihiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKisukuruDawa za mfadhaikoNimoniaYanga PrincessMiundombinuOrodha ya makabila ya KenyaMahakamaNgamiaVihisishiMwanza (mji)SumakuWanyakyusaMikoa ya TanzaniaSitiariFani (fasihi)ShahawaMichael JacksonKondomu ya kikeUrusiChama cha MapinduziNomino za wingiVirusi vya CoronaIsraeli ya KaleMivighaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaChuo Kikuu cha Dar es SalaamMziziKaswendeMkoa wa TangaNgeliSarufiJamiiMsitu wa AmazonUshairiHektariMkoa wa MbeyaHaki za watotoMariooKamusi za KiswahiliTarafaTreniMaudhui katika kazi ya kifasihiUkatiliHerufiMandhariMapenzi🡆 More