Historia Ya Latvia

Historia ya Latvia inahusu eneo la Ulaya ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Latvia.

Kwa muda mrefu Estonia ilikuwa chini ya Wajerumani, Wapolandi na Waswidi, halafu (1710) sehemu ya Dola la Urusi.

Katika miaka 1918-1940 ilikuwa jamhuri huru, halafu miaka 1940-1991 mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti.

Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Latvia ilijitangaza tena nchi huru.

Latvia ilijiunga na Umoja wa Ulaya baada ya azimio la Halmashauri Kuu ya Ulaya ya tarehe 13 Desemba 2002 iliyokutana Kopenhagen.

Katika kura ya maoni ya tarehe 20 Septemba 2003 ni 66.9% za Walatvia wote waliokubali azimio hilo.

Latvia iliingia rasmi katika Umoja wa Ulaya tarehe 1 Mei 2004 pamoja na nchi nyingine 9 za Ulaya mashariki.

Historia Ya Latvia Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Latvia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JamhuriLatviaUlaya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ChatGPTShomari KapombeNabii EliyaVivumishi vya idadiUbuyuFamiliaRisalaZabibuWasukumaMendeAlama ya barabaraniJumapili ya matawiTelevisheniSaratani ya mapafuKadi za mialikoAngkor WatSikioKombe la Mataifa ya AfrikaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMwanzoHedhiGesi asiliaTabataBustani ya EdeniUoto wa Asili (Tanzania)WagogoKichochoUmoja wa AfrikaShikamooUajemiTungoTreniInjili ya MathayoLeopold II wa UbelgijiUnyevuangaMkoa wa KageraOrodha ya wanamuziki wa AfrikaPichaJakaya KikweteOrodha ya maziwa ya TanzaniaSayariHaikuOrodha ya programu za simu za WikipediaKondomu ya kikeMkanda wa jeshiHoma ya matumboMbwana SamattaNomino za pekeeSenegalSamakiMuzikiVirusi vya UKIMWIUhuru wa TanganyikaFani (fasihi)Tmk WanaumeMajiMkoa wa MbeyaBaraUingerezaWanyama wa nyumbaniViwakilishi vya pekeeDiamond PlatnumzKitubioUtapiamloIniMji mkuuNjia ya MsalabaLionel MessiUsultani wa ZanzibarWimboWalawi (Biblia)Viwakilishi🡆 More