Gadolini

Gadolini (Gadolinium) ni elementi ya kikemia yenye alama Gd na namba atomia 64.

Gadolini ni metali yenye rangi nyeupe-ya kifedha wakati haijaoksidika bado. Gadolini humenyuka na oksijeni ya hewani au unyevu polepole ikiunda mpako mweusi. Chini ya °C 20 ina tabia za kisumaku.

Kiasili hupatikana hasa kwa umbo la oksidi.

Jina lake limetokana na madini ya gadoliniti inamopatikana; madini yalipewa jina kwa heshima ya moja ya madini ambayo gadolinium hupatikana, yenye jina kwa mwanakemia Johan Gadolin kutoka Uswidi.

Gadolinium ina tabia kadhaa zisizo kawaida. Katika kampaundi za feleji nyongeza ndogo ya Gadolini hupunguza hupunguza utendanaji wake na oksijeni katika hali ya joto.[ onesha inahitajika ]

Kampaundi za gadolini hutumiwa katika mikrowevu, uzalishaji wa diski za kompyuta na pia kwa skrini za rada.

Gadolini
Sampuli ya madini ya gadolini.

Upatikanaji katika ganda la Dunia ni takribani miligramu 6.2 kwa kila kilogramu. Huchimbwa hasa China, Marekani, Brazil, Sri Lanka, Uhindi na Australia. Uzalishaji wa gadolini safi duniani ni karibu tani 400 kwa mwaka.

Marejeo

Viungo vya nje

Marejeo

Gadolini  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gadolini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AlamaElementi za kikemiaFedhaHewaKisumakuMetaliNamba atomiaNyeupeOksijeniRangiTabiaUnyevu°C

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SamakiKigoma-UjijiKonsonantiUtumbo mwembambaMofimuPichaHaki za wanyamaKito (madini)UaLigi Kuu Tanzania BaraUtoaji mimbaNomino za pekeeKen WaliboraZiwa NatronJumuiya ya MadolaBikiraFranco Luambo MakiadiMatumizi ya LughaZambiaBinamuNadhariaKisimaKiambishi tamatiMbaraka MwinsheheShairiSkeliImaniNyangumiDhanaElimu ya kujitegemeaMtoni (Temeke)Orodha ya viwanja vya michezo TanzaniaKumaUfaransaFananiBaruaMdalasiniAzam F.C.Mkoa wa KigomaWimboMoscowStafeliOrodha ya makabila ya TanzaniaWilaya ya IlalaVasco da GamaKura ya turufuOrodha ya Marais wa UgandaHuduma ya kwanzaNamba za simu TanzaniaWilaya ya KaratuMwaka wa KanisaViwakilishi vya kuoneshaMfumo wa uendeshajiUmmaUenezi wa KiswahiliHifadhi ya SerengetiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarNzigeHistoria ya AfrikaNafsiKiraiNdege (mnyama)Uwanja wa UhuruMaambukizi nyemeleziVita Kuu ya Kwanza ya DuniaKitenzi kikuuMkoa wa LindiNguruweAbakuriaSerikaliSadakaMkoa wa MorogoroMillard AyoVivumishi vya kuonesha🡆 More