Kampaundi

Kampaundi (pia: msombo) ni dutu iliyoundwa kwa kuungana kwa elementi mbili au zaidi za kikemia katika hali thabiti kati ya masi au atomi zake.

Atomi zake zashikwa kwa muungo kemia kuwa molekuli za dutu hiyo.

Tofauti ya kampaundi na mchanganyiko wa elementi

Kampaundi ni tofauti na mchanganyiko wa elementi. Kwa mfano mchanganyiko wa atomi mbili za hidrojeni na atomi moja ya oksijeni ni gesi ya oksihidrojeni inayowaka rahisi kwa njia ya mlipuko. Mchanganyiko huu si thabiti. Lakini kama atomi zilezile zaingia katika muungo kemia zaunda dutu mpya ya H2O yaani maji.

Kampaundi hupatikana kwa hali maada mbalimbali kama vile gesi, mango au kiowevu.

Kampaundi  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kampaundi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AtomiDutuElementiKemiaMasiMbiliMolekuliMuungo kemia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Meno ya plastikiNgamiaOrodha ya nchi za AfrikaAthari za muda mrefu za pombeShahawaNomino za dhahaniaRedioP. FunkHekaya za AbunuwasiKariakooDalufnin (kundinyota)Magonjwa ya machoTendo la ndoaKata za Mkoa wa MorogoroUundaji wa manenoMshororoKonyagiOrodha ya Marais wa UgandaUandishiMkoa wa NjombeHussein Ali MwinyiKisonono25 ApriliMariooUtumbo mpanaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaMaktabaOrodha ya viongoziViwakilishi vya idadiPunyetoUkristoWingu (mtandao)ElimuMalariaNomino za wingiMzabibuJacob StephenMsamiatiMauaji ya kimbari ya RwandaMeta PlatformsMtume PetroJava (lugha ya programu)KabilaVitenzi vishirikishi vikamilifuUgonjwa wa uti wa mgongoJamhuri ya Watu wa ZanzibarHistoria ya UislamuMarekaniGeorDavieMitume wa YesuVielezi vya idadiKiboko (mnyama)KiraiBiashara ya watumwaMbuniMawasilianoNduniJinsiaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLatitudoKamusi ya Kiswahili sanifuYanga PrincessMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiNgano (hadithi)Nyati wa AfrikaOrodha ya Marais wa ZanzibarVitendawiliUwanja wa Taifa (Tanzania)Magonjwa ya kukuTabianchiNg'ombeRufiji (mto)MahindiDaktari🡆 More