Kemia isiyokaboni (au: Kemia isiyo ya kikaboni, pia kemia siogania; ing.
Kwa hiyo inaangalia michakato ya elementi zote isipokuwa kaboni na kampaundi zao yaani isiyo kampaundi ogania.
Asili ya kugawa kemia kwa matawi ya kemia kaboni na isiyo kaboni ilikuwa nia ya kutazama kwa pekee dutu zilizopatikana kiasili katika mazingira bila athira ya uhai pekee na dutu zinatokea na michakato ya viumbehai.
Kimsingi kuna tofauti kati ya
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kemia isiyokaboni, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.