Frank Lloyd Wright

Frank Lloyd Wright (8 Juni 1867 – 9 Aprili 1959) alikuwa msanifu majengo nchini Marekani aliyekuwa maarufu mwanzoni wa karne ya 20.

Alilenga kubuni majengo kulingana na mazingira asilia ya mahali ("organic architecture").

Frank Lloyd Wright
F.L. Wright kwenye stempu ya Marekani

Alisoma usanifu majengio kwenye chuo kikuu cha Wisconsin lakini aliondoka 1887 bila cheti. Alipata kazi kwa wasanifu mbalimbali na kuanza kampuni yake 1893.

Katika falsafa yake alilenga kujenga nyumba inayofaa mazingira yake. Hii inaonekana katika nyumba ya maporomoko (Falling Water) alipojenga nyumba juu ya poromoko ya mto bila kulizuia.

Kwa jumla alibuni zaidi ya 1,000 na kutekeleza majengo zaidi ya 400.


Frank Lloyd Wright Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frank Lloyd Wright kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

186719598 Juni9 ApriliMarekani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MafurikoNyanda za Juu za Kusini TanzaniaKrioliKilimoKuchaHadithi za Mtume MuhammadInjili ya MathayoUjamaaFonolojiaKhadija KopaDhanaFasihi andishiTeknolojiaRita wa CasciaJamhuri ya Watu wa ZanzibarWanilambaNdoaKiambishiKina (fasihi)WanyakyusaKiingerezaWaziriUbaleheNuktambiliKiraiBustaniMselaMalariaAfrika Mashariki 1800-1845MisemoWangoniUtanzuMbaraka MwinshehePamboHuduma ya kwanzaLiverpool F.C.Mtoni (Temeke)Somo la UchumiMadawa ya kulevyaMaambukizi ya njia za mkojoAli Hassan MwinyiNgano (hadithi)Leonard MbotelaSimu za mikononiMandhariMohamed HusseinOrodha ya Marais wa UgandaMohammed Gulam DewjiMpira wa miguuUmaskiniMamaManchester CityUtumbo mwembambaKitenzi elekeziMkoa wa KigomaHussein Ali MwinyiHifadhi ya SerengetiIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Kanisa KatolikiMweziNembo ya TanzaniaHadhiraKupatwa kwa JuaKambaleWanu Hafidh AmeirMwezi (wakati)DiniMkoa wa RuvumaMikoa ya TanzaniaBarua pepeUmmaTamathali za semiShangaziVidonda vya tumboMkwawa🡆 More