Benedikto Yosefu Labre

Benedikto Yosefu Labre (kwa Kifaransa Benoît-Joseph Labré; Amettes, Boulogne-sur-Mer, Ufaransa, 25 Machi 1748 - Roma, Italia, 16 Aprili 1783) alikuwa Mkristo ambaye tangu ujanani alitamani sana maisha ya toba kali.

Benedikto Yosefu Labre
Mtakatifu alivyochorwa na Antonio Cavallucci mwaka 1795.
Benedikto Yosefu Labre
Mtakatifu Benedict Joseph Labré.
Benedikto Yosefu Labre
Kanisa la Santa Maria ai Monti alimozikwa.

Kwa ajili hiyo aliiishi miaka mingi bila makao maalumu, akihiji kwa tabu nyingi makanisa mbalimbali akiwa amevaa nguo zilizochakaa na akila alichopewa tu, akitoa mfano bora wa ibada, hasa kwa kuabudu ekaristi.

Hatimaye alihamia Roma alipoishi katika sala na ufukara mkubwa sana.

Alitangazwa na Papa Pius IX kuwa mwenye heri tarehe 20 Mei 1859, halafu Papa Leo XIII akamtangaza mtakatifu tarehe 8 Desemba 1881.

Sikukuu yake ni tarehe 16 Aprili.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-140-51312-4.

Viungo vya nje

Benedikto Yosefu Labre 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Benedikto Yosefu Labre  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Benedikto Yosefu Labre Tazama piaBenedikto Yosefu Labre TanbihiBenedikto Yosefu Labre MarejeoBenedikto Yosefu Labre Viungo vya njeBenedikto Yosefu Labre16 Aprili1748178325 MachiBoulogne-sur-MerItaliaKifaransaMaishaMkristoRomaTobaUfaransaUjana

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Utumbo mwembambaMandhariNg'ombe (kundinyota)Shukuru KawambwaWapareRuge MutahabaLugha za KibantuMkoa wa TaboraKoroshoRisalaMasafa ya mawimbiMtaalaAbrahamuMlongeTovutiMapenziUenezi wa KiswahiliMtandao wa kijamiiLakabuWilaya ya Nzega VijijiniWhatsAppMvua ya maweUrusiDhamiraUnyagoKiolwa cha anganiSteve MweusiUDABahari ya HindiMshororoMohamed HusseinNimoniaMbossoViwakilishi vya urejeshiUfugajiWilaya ya UbungoTanganyika (maana)KiambishiFamiliaBunge la TanzaniaNyukiHadithi za Mtume MuhammadOrodha ya makabila ya KenyaDhima ya fasihi katika maishaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaMaradhi ya zinaaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaDodoma (mji)Historia ya ZanzibarInsha ya wasifuMwakaEdward SokoineRitifaaMwanzo (Biblia)Muundo wa inshaLiverpool F.C.Mpira wa mkonoNuktambiliKumaArsenal FCPentekosteBibliaUislamuDaktariWilaya za TanzaniaKitenzi kikuuHadhiraPichaUbadilishaji msimboMeta PlatformsMlima wa MezaJose ChameleoneMajira ya mvuaNafsiUmoja wa Afrika🡆 More