Bahari Ya Norwei

Bahari ya Norwei ni bahari ya pembeni ya Atlantiki iliyopo upande wa kaskazini magharibi ya Norwei.

Inapatikana baina ya Bahari ya Kaskazini na Bahari ya Greenland. Inaunganishwa na Bahari Atlantiki upande wa magharibi na upande wa mashariki kaskazini iko Bahari ya Barents.

Bahari Ya Norwei
Milima ya visiwa vya Lofoten vilivyopo mbele ya pwani ya Norwei pamoja na mlima Vågakaillen (mita 942).
Bahari Ya Norwei
Ramani ya Bahari ya Norwei.

Kina cha Bahari ya Norwei ni kirefu, kwa wastani kilomita 2. Chini yake kuna akiba za mafuta ya petroli na gesi asilia ambazo Norwei imefaidi tangu mwaka 1993.

Kabla ya kugunduliwa kwa gesi asilia matumizi ya kiuchumi ya bahari hii yalikuwa hasa ya uvuvi. Pwani za Bahari ya Norwei huwa na samaki wengi wanaofika huko kuzaa kutoka Atlantiki ya Kaskazini. Lakini idadi ya samaki imepungua kutokana kwa kuzidi kwa uvuvi unaotumia vifaa vya kisasa.

Mkondo wa Atlantiki ya Kaskazini hufikisha maji vuguvugu yasiyoweza kupoa mno, hivyo sehemu hii ya bahari haiwezi kuganda hata wakati wa baridi.

Majereo

Viungo vya Nje

69°N 0°E / 69°N 0°E / 69; 0

Bahari Ya Norwei  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Norwei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AtlantikiBahari ya BarentsBahari ya GreenlandBahari ya KaskaziniBahari ya pembeniKaskaziniMagharibiMasharikiNorwei

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MilaUmoja wa AfrikaChama cha MapinduziUkwapi na utaoWilaya ya KinondoniWayback MachineDini asilia za KiafrikaSarufiTarafaUsawa (hisabati)Mkanda wa jeshiJokofuMperaUandishiSensaKiwakilishi nafsiHadhiraHalmashauriHaitiMtaalaSodomaWahaKukuEthiopiaNgw'anamalundiBenjamin MkapaMpira wa mkonoHifadhi ya mazingiraKisaweUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020MnyamaKitenziVitendawiliPamboSakramentiMajira ya mvuaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziAfrika ya MasharikiMaji kujaa na kupwaMbezi (Ubungo)NusuirabuNdoa katika UislamuMkoa wa MaraKondomu ya kikeDiglosiaMwanzoHarmonizePijini na krioliUbongoDaudi (Biblia)UnyenyekevuMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaMeta PlatformsUchumiBiasharaIfakaraUnyagoUtendi wa Fumo LiyongoLilithKiambishi tamatiRushwaMvuaOrodha ya Marais wa UgandaHomoniUzalendoUkoloniMkoa wa DodomaUkimwiDoto Mashaka BitekoTulia AcksonMwanamkeUandishi wa ripotiKiambishi awaliBahari ya HindiMichezoMfumo katika sokaMaandishi🡆 More