Ayatollah

Ayatollah (kwa Kiajemi: آيت الله; kwa Kiarabu: آية الله ayatu 'llah - alama ya Allah/Mungu) ni cheo cha kiongozi wa kidini katika Uislamu wa Shia hasa nchini Uajemi na pia Iraq.

Ayatollah

Cheo cha ayatollah hakilingani na kuhani au askofu katika dini nyingine. Kinafanana zaidi na profesa wa chuo kikuu kwa sababu ayatollah hutambuliwa baada ya kumaliza masomo yake na kufundisha kwa muda fulani. Akionekana anajua mambo yake na anaheshimiwa na akina ayatollah waliomtangulia, ataanza kuitwa hivyo.

Wachache huitwa "ayatollah mkubwa" wakikubaliwa na wafuasi wengi sana, pia na wenzao.

Ayatollah aliyejulikana sana duniani alikuwa Ruhollah Khomeini (17 Mei 1900 - 3 Juni 1989) aliyeanzisha mapinduzi ya Kiislamu nchini Uajemi na kuwa kiongozi wa jamhuri ya Kiislamu.

Mwingine ni Ayatollah Mkubwa Ali Al-Hoessein al-Sistani ambaye ni kiongozi mkuu wa Washia nchini Iraq.

Ayatollah Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

CheoIraqKiajemiKiarabuShiaUajemiUislamu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vidonge vya majiraDaudi (Biblia)DiglosiaTanganyika African National UnionOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaUrusiKanda Bongo ManMsitu wa AmazonUchaguziWimboWahadzabeMamaOrodha ya Watakatifu WakristoMuundo wa inshaUkoloniNetiboliEdward SokoineIniNafsiUajemiSoko la watumwaAmina ChifupaUmoja wa MataifaMeno ya plastikiUkwapi na utaoSimuAfrikaAgano JipyaWanyaturuVitenzi vishirikishi vikamilifuUgonjwa wa uti wa mgongoMilango ya fahamuMiundombinuDiamond PlatnumzSayansi ya jamiiNdoa katika UislamuAla ya muzikiShinikizo la juu la damuMr. BlueMajina ya Yesu katika Agano JipyaGoba (Ubungo)Bahari ya HindiNembo ya TanzaniaArsenal FCMange KimambiUchumiZabibuStephane Aziz KiMitume wa YesuVita Kuu ya Kwanza ya DuniavvjndLakabuMlima wa MezaMbeya (mji)Kutoka (Biblia)Ukristo nchini TanzaniaMkoa wa TangaNomino za dhahaniaStadi za maishaDoto Mashaka BitekoLigi Kuu Uingereza (EPL)SkeliRufiji (mto)Ufahamu wa uwezo wa kushika mimbaMsamiatiP. FunkMkoa wa PwaniMaadiliJava (lugha ya programu)🡆 More