Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Uislamu" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Uislamu (kwa Kiarabu: الإسلام al-islam) ni dini inayotokana na mafunzo ya Mtume Muhammad. Wafuasi wa imani hiyo huitwa "Waislamu" na wanakadiriwa kuwa... |
Uislamu nchini Aljeria ni dini karibu ya watu wote wa Aljeria. Imeenea karibuni katika kila nyanja za maisha ya Waljeria. Sehemu kubwa ya raia wake ni... |
Uislamu nchini Moroko ni dini kubwa sana, ikiwa inachukua asilimia zaidi ya 99 ya jumla ya wakazi wote nchini. Sehemu kubwa ya Waislamu wa Moroko ni wale... |
Uislamu nchini Djibouti una historia ndefu, kwanza unaonekana katika Pembe la Afrika wakati wa zama za uhai wa mtume Muhammad. Leo hii, asilimia 94 ya... |
Uislamu ni dini yenye wafuasi wengi nchini Gambia, ikiwa na asilimia 95.3 za idadi ya wakazi wote wa nchi hiyo. Sehemu kubwa ya Waislamu wa Gambia ni... |
Waislamu wapo karibia asimilia 100 ya wakazi wote wa Sahara ya Magharibi. Uislamu kwa nchi "The World Factbook - Western Sahara". CIA. Ilihifadhi kwenye... |
Uislamu barani Afrika una uwepo mkubwa huko Afrika Kaskazini, Pembe ya Afrika, Pwani ya Waswahili, na wengine wengi huko Afrika Magharibi, kukiwa na idadi... |
Uislamu nchini Benin ni dini ya pili kwa wingi wa waumini ambayo inafuatwa sana baada ya Ukristo ikiwa na asilimia 24.4 za wakazi wote kwa mujibu wa sensa... |
Uislamu nchini Libya ndio dini inayongoza kwa wingi wa wafuasi. Sehemu kubwa ya waumini wa Libya ni wale wanaofuata dhehebu la Sunni, ambapo hutoa mafunzo... |
Uislamu nchini Afghanistan ulianza baada ya Waarabu wa Kiislamu kutwaa Afghanistan kuanzia karne ya 7 hadi ya 10, na wale waliosalia wakaja kusilimu rasmi... |
Uislamu nchini Mauritania ndiyo dini inayoongoza. Kwa ujumla watu wa Mauritania wote ni Waislamu wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya Maliki.... |
Uislamu ulianza barani Asia katika karne ya 7 wakati wa zama za uhai wa Mtume Muhammad. Idadi kubwa ya wafuasi wa dini ya Kiislamu wameishi huko Asia... |
Uislamu nchini Afrika Kusini ni dini ndogo sana, inakadiriwa kuna asilimia chini ya 1.5 ya jumla ya wakazi wote, kulingana na hesabu yao. Uislamu nchini... |
Historia ya Uislamu kadiri ya wafuasi wa dini hiyo haikuanza na Mtume Muhammad kama wanavyofikiria watu wengi bali imeanza tangu alipoletwa nabii wa kwanza... |
Sunni. Kwa zaidi ya miaka 1400, Uislamu umechukua nafasi kubwa katika utamaduni na jamii nzima ya Kisomali. Uislamu kwa nchi A Country Study: Somalia... |
Uislamu barani Oceania ni jina la kutaja Uislamu na Waislamu barani Oceania. Kwa makadirio ya sasa, kuna Waislamu 498,395 wanaoishi barani Oceania, wakiwemo... |
Uislamu ni dini ndogo mno nchini Sudan Kusini. Sehemu ya Waislamu walikaribishwa Sudan Kusini baada ya Kura ya maoni ya uhuru wa Sudan Kusini. Sensa ya... |
Uislamu nchini Mauritius na taasisi zake unakadiriwa kuwa asilimia 17.3 ya idadi yote ya wakazi nchini humo. Waislamu wengi wa Mauritius ni wale wenye... |
Uislamu nchini Gabon unategemea hasa wahamiaji kutoka nchi nyingineː unakadiriwa kuwa asilimia 12 ya idadi ya wakazi wote wa Gabon ni waumini wa Kiislamu... |
Uislamu ni mojawapo kati ya dini kubwa nchini Tanzania. Idadi ya wafuasi katika Tanzania haijulikani kikamilifu na makadirio yako kati ya theluthi moja... |