Grand Ayatollah Seyed Reza Hosseini Nassab (amezaliwa 22 Novemba 1960) ni kiongozi wa Washia, ambaye anaishi nchini Kanada.
Yeye alikuwa rais na imamu wa kituo cha Uislamu huko Hamburg (Imam Ali Moschee Hamburg), Ujerumani.
Tangu mwaka 2003, aliwahi kuwa rais wa Shirikisho la Washia Uislamu "Ahlul Bayt Bunge" huko Kanada]na imam wa Imam Mahdi Islamic Centre ya Toronto.
Hosseini Nassab ameandika machapisho zaidi ya 50 kuhusu teolojia ya Kiislamu, Washia, falsafa na mantiki. Machapisho yake ni pamoja na:
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Seyed Reza Hosseini Nassab, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.