Mantiki

Mantiki (kutoka Kiarabu منطق mantiq; kwa Kiingereza logic kutoka Kigiriki logos, yaani neno, wazo) ni elimu jinsi ya kutoa hoja sahihi.

Mantiki inasaidia kufikia uamuzi kama hoja fulani ni ya kweli au la. Mantiki ni tawi la falsafa, pia hisabati.

Mfano wa hitimisho (syllogism) kutoka Wagiriki wa Kale na siku za mwanzo wa mantiki iliyotolewa na Aristoteli:

  1. Kila mtu atakufa
  2. Sokrates ni mtu
  3. Kwa hiyo Sokrates atakufa

Mantiki kwa fomula

Hitimisho hiyo inaweza kuandikwa pia kwa fomula:

  • Mantiki  husomwa kama "na", kwa kumaanisha zote mbili
  • Mantiki  husomwa kama "au", kwa kumaanisha angalau moja kati ya hizi mbili
  • Mantiki  husomwa kama "inamaanisha", au "kama ... halafu ...".
  • Mantiki  husomwa kama "hapana" au "si vile ...".
  • Mabano (,) huongezwa kwa kuratibu hoja kwa umuhimu. Yaani kile katika mabano kinapaswa kuangaliwa kwanza.

Kwa hiyo hitimisho ya Aristoteli kwa fomula:

    Mantiki 

Hiyohiyo kama fomula kwa mifano yote:

    Mantiki 

Tags:

ElimuHojaKiarabuKigirikiKiingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

JokofuIsraelFonolojiaDolaMorokoFonimuUkatili wa kijinsiaKinywajiJoseph ButikuMwanzoNyumbaSensaOrodha ya Marais wa UgandaFutiNimoniaVita Kuu ya Pili ya DuniaToharaMeta PlatformsBarabaraMichezo ya watotoWanyama wa nyumbaniSimuOrodha ya vitabu vya BibliaNafsiFacebookMoses KulolaTamathali za semiUjamaaHistoria ya KiswahiliSayariUhindiBabuWilaya ya NyamaganaUpinde wa mvuaMkoa wa KilimanjaroWamasaiBomu la nyukliaUzalendoLigi ya Mabingwa AfrikaMatumizi ya lugha ya KiswahiliMuhammadDhamiraMethaliVivumishi vya sifaClatous ChamaAgano JipyaUnyanyasaji wa kijinsiaSimbaMpira wa miguuShambaNyegeTamthiliaMimba kuharibikaKifaaMnara wa BabeliMsumbijiVivumishi vya jina kwa jinaEdward Ngoyai LowassaUkooNamba tasaJoyce Lazaro NdalichakoNomino za jumlaUkwapi na utaoNguzo tano za UislamuKarafuuHistoria ya BurundiAsili ya KiswahiliWaluoHoma ya matumboWamasoniUshairiUandishi wa ripoti🡆 More