Mitholojia Apolo: Mungu katika hadithi za Kigiriki na Kirumi

Apolo (kwa Kiatika, Kiionia, na Kihomeri: Ἀπόλλων, Apollōn (jen.: Ἀπόλλωνος); kwa Kidoriki: Ἀπέλλων, Apellōn; kwa Kiarkadokupro: Ἀπείλων, Apeilōn; kwa Kieolia: Ἄπλουν, Aploun; kwa Kilatini: Apollō) ni jina la mungu wa nuru, jua, ukweli, uponyaji, ugonjwa, upigaji wa mishale, muziki na ushairi katika mitholojia ya Kigiriki na Kirumi.

Apolo
Mitholojia Apolo: Mungu katika hadithi za Kigiriki na Kirumi
Sanamu ya Apolo na alama zake—lira na nyoka Pithoni
Mungu wa nuru, tiba, muziki, ushairi, tauni, jua na elimu
MakaoMlima Olimpos
AlamaLira, Zingo la mbei, Pithoni, Kunguru, Upinde na mishale
WazaziZeu na Leto
NduguArtemi
Ulinganifu wa KirumiApolo

Yeye aliaminiwa kuwa mwana wa Zeu na Leto na ndugu pacha wa Artemi.

Kwa asili alikuwa Mungu wa Wagiriki lakini ibada yake ilisambaa mapema katika Roma ya Kale pia. Wakati mwingine aliabudiwa kwa jina la Kilatini Phoebus.

Marejeo

Mitholojia Apolo: Mungu katika hadithi za Kigiriki na Kirumi  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JinaJuaKilatiniMitholojia ya KigirikiMitholojia ya KirumiMshaleMunguMuzikiNuruUgonjwaUkweliUshairi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya KanisaIniHukumuKifua kikuuMaradhi ya zinaaWapareUaMahakamaSabatoHistoria ya AfrikaKukiNominoMangwairVipaji vya Roho MtakatifuBaraza la mawaziri TanzaniaHedhiManchester United F.C.UshairiWayahudiWanyaturuNadhiriUshogaTanzaniaKinyonga (kundinyota)Aishi ManulaNembo ya TanzaniaWCB WasafiMafumbo (semi)Osama bin LadenKilimia1 MeiBarua pepeRayvannyWimboVita vya KageraDemokrasia ya moja kwa mojaDiniRoho MtakatifuAkili ya binadamuKorea KusiniBungeNelson MandelaMkoa wa KigomaTausiDhima ya fasihi katika maishaVita ya wenyewe kwa wenyewe BurundiAzimio la ArushaUyahudiLugha za KibantuMamlakaLughaKiambishi tamatiInjili ya MathayoTwigaAlfabeti ya kifonetiki ya kimataifaAbakuriaTaiKihusishiKuraniManaGhanaVieleziKisimaKishazi tegemeziMungu ibariki AfrikaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaJMitaNomino za wingiMmeaMwezi (wakati)TetekuwangaStadi za maishaRadiWaluo🡆 More