Anguilla

Anguilla ni kisiwa cha Antili Ndogo katika Karibi na pamoja na visiwa vidogo vya jirani visivyo na wakazi ni eneo la ng'ambo la Uingereza.

Anguilla
Anguilla
Anguilla
Ramani ya Anguilla
Anguilla
Mahali pa Anguilla

Kisiwa kikubwa cha Anguilla kina urefu wa km 25 na upana wa km 3; eneo lake ni km² 103 na idadi ya wakazi mnamo watu 13,500. Kipo upande wa mashariki wa Puerto Rico na upande wa kaskazini wa Saint-Martin.

Anguilla iliwahi kuwa sehemu ya Saint Kitts na Nevis ikajitenga mwaka 1980 na kubaki sehemu ya Uingereza wakati visiwa hivyo vingine vilipopata uhuru.

Jina ni neno la Kihispania kwa samaki ya mkunga kutokana na umbo lake kuwa refu na jembamba.

Uchumi wa kisiwa hutegemea hasa uvuvi na utalii.

Watu wa Angulilla wana asili ya watumwa kutoka Afrika.

Lugha ni Kiingereza.

Viungo vya nje

Anguilla 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:


Anguilla  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Anguilla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Antili NdogoEneo la ng'ambo la UingerezaKaribiKisiwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vivumishi vya sifaMagonjwa ya kukuMeno ya plastikiWilaya ya UbungoUpinde wa mvuaYoung Africans S.C.KipazasautiTanzaniaMofimuMisemoRupiaRitifaaTupac ShakurIniMkoa wa NjombeMvua ya maweKiboko (mnyama)Martha MwaipajaKichecheIntanetiWarakaMoyoJumuiya ya Afrika MasharikiHistoria ya UislamuOrodha ya Watakatifu WakristoMeliMfumo wa mzunguko wa damuFasihi simuliziSheriaMbossoNambaOrodha ya Magavana wa TanganyikaJacob StephenKiunguliaDodoma (mji)HektariStephane Aziz KiNafsiUmaskiniBongo FlavaMavaziHedhiHali ya hewaNomino za kawaidaNamba tasaRamaniHaki za wanyamaLuhaga Joelson MpinaMaudhuiMtakatifu MarkoHistoria ya WapareMnara wa BabeliTawahudiMahindiPichaSensaMtandao wa kijamiiSimbaSkeliChakulaViwakilishi vya kuoneshaAlfabetiWanyakyusaNgiriUingerezaUlumbiMwanzoWizara ya Mifugo na UvuviViwakilishi vya urejeshiSinagogiVipera vya semiOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUharibifu wa mazingira🡆 More