Anemia

Anemia (kutoka Kiingereza; katika lugha hiyo inaandikwa pia anaemia) ni ugonjwa wa kukosa idadi ya kutosha ya seli nyekundu za damu (upungufu wa hemoglobini katika damu).

Anemia
Mwainisho na taarifa za nje
Pronunciation
  • Kigezo:IPAc-en
SpecialtyHematology Edit this on Wikidata
ICD-10D50.-D64.
ICD-9280-285
DiseasesDB663
MedlinePlus000560
eMedicinemed/132 emerg/808 emerg/734
MeSHD000740

Kwa lugha nyingine, anemia ni uwezo mdogo wa damu kusafirisha oksijeni mwilini.

Kama anemia inaanza polepole dalili zake mara nyingi ni dhaifu, zikiwa pamoja na uchovu, udhaifu na ugumu wa kupumua.

Anemia inayoanza ghafla ina dalili kali zaidi, zikiwa pamoja na kuchanganyikiwa akilini, kujisikia kama karibu na kupotea, ufahamu au kupotea ufahamu kweli, au kiuu kikali. Kama anemia imeendelea watu weupeweupe wanaweza kuonekana weupe zaidi kuliko kawaida; Waafrika mara nyingi huonyesha rangi ya njano chini ya kucha. Additional symptoms may occur depending on the underlying cause.

Aina za anemia

Kuna hasa aina 3 za anemia

  • Kutokana na upotevu wa damu
  • kutokana na upungufu wa uzalishaji wa seli nyekundu za damu mwilini
  • kutokana na uharibifu wa seli nyekundu katika damu.

Sababu za upotevu wa damu ni pamoja na jeraha, hasa jeraha ndani ya utumbo.

Sababu za upungufu wa uzalishaji wa seli nyekundu ni uhaba wa chuma, uhaba wa vitamini B12 na matatizo ndani ya uboho wa mifupa unaozalisha seli hizi.

Uharibifu wa seli nyekundu za damu husababishwa na anemia selimundu, magonjwa kama malaria na mengine

Marejeo

Anemia  Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anemia kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DamuHemoglobiniIdadiKiingerezaLughaSeli nyekundu za damuUgonjwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Stephane Aziz KiMwanamkeSiasaMtakatifu MarkoOrodha ya wanamuziki wa AfrikaHakiMazingiraFisiUmoja wa MataifaChumba cha Mtoano (2010)WanilambaIsimuUenezi wa KiswahiliJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKomaWaheheAmaniWachaggaKiambishi awaliHafidh AmeirMatendo ya MitumeLondonHasiraKipindupinduBendera ya TanzaniaAndalio la somoWikipediaTume ya Taifa ya UchaguziBendera ya KenyaWanyaturuBikira MariaKunguniMkoa wa ShinyangaUrusiMbwana SamattaWilaya ya KinondoniAlama ya uakifishajiKanisa KatolikiMaambukizi nyemeleziKisiwaSakramentiNafsiKylian MbappéInshaNominoKukuMswakiUpendoAbakuriaJeshiAdhuhuriMfumo katika sokaAkiliAl Ahly SCShahada ya AwaliMkwawaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaFani (fasihi)Wingu (mtandao)Ligi ya Mabingwa AfrikaShangaziUhalifu wa kimtandaoTungo kiraiUmaskiniUfupishoKura ya turufuPonografiaMillard AyoShukuru KawambwaTawahudiNguruwe-kayaAlasiriKhadija Kopa🡆 More