Afrika Ya Kusini-Magharibi Ya Kijerumani

Afrika ya Kusini-Magharibi ya Kijerumani (kwa Kijerumani Deutsch-Südwestafrika) ilikuwa koloni la Ujerumani katika Afrika kuanzia mwaka 1884 hadi 1915.

Leo hii ni nchi ya Namibia.

Afrika Ya Kusini-Magharibi Ya Kijerumani
Ramani ya Kijerumani ya Afrika ya Kusini-Magharibi (Namibia)

Tangu mwaka 1891 Windhuk ilikuwa mji mkuu wa koloni. Sawa na Namibia ya leo, koloni lilikuwa na eneo la kilomita za mraba 835,100. Eneo la hori ya Walfish Bay ilikuwa chini ya Uingereza, baadaye kama eneo la Afrika Kusini.

Kutokana na tabia yabisi ya nchi, maeneo makubwa yalikuwa na wakazi wachache tu. Hata hivyo Wajerumani walikuta upinzani mkali wa wenyeji, hasa Waherero na Wanama, walioshindwa katika vita vya miaka 1904-1908; takriban Waherero 80,000, Wanama 10,000 na Wajerumani 1,749 walikufa kutokana na mapigano hayo.

Mwaka 1915 nchi ilivamiwa na jeshi la Uingereza na Muungano wa Afrika Kusini na utawala wa Kijerumani ukaisha.

Mwaka 1922 eneo likawa eneo la kudhaminiwa kwa niaba ya Shirikisho la Mataifa kwa jina la Afrika ya Kusini-Magharibi (South-West Africa). Hatua hiyo ilikuwa msingi kwa uhuru wa Namibia kama nchi ya pekee nje ya Afrika Kusini.

Tags:

18841915AfrikaKijerumaniKoloniNamibiaUjerumani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mimba kuharibikaMunguTashihisiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuWilaya ya TemekeDhamiraJoyce Lazaro NdalichakoUandishi wa ripotiMkoa wa KageraKiambishiJamhuri ya Watu wa ChinaC++Mwana FAWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMishipa ya damuNuktambiliSkeliLady Jay DeeAlomofuMartha MwaipajaNominoTawahudiMilanoTafakuriNikki wa PiliFisiMkoa wa KilimanjaroKishazi huruOrodha ya nchi kufuatana na wakaziJacob StephenUenezi wa KiswahiliSiafuBenjamin MkapaUwanja wa Taifa (Tanzania)Kanga (ndege)Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaSamakiVidonda vya tumboDemokrasiaGongolambotoChakulaEe Mungu Nguvu YetuSabatoHistoria ya Kanisa KatolikiKupatwa kwa JuaJamiiKonsonantiElimuMohamed HusseinManispaaMlima wa MezaAMarie AntoinetteMaumivu ya kiunoWarakaMapambano kati ya Israeli na PalestinaMtakatifu PauloKata za Mkoa wa Dar es SalaamAlama ya uakifishajiOrodha ya viongoziMjombaDubai (mji)Mtakatifu MarkoNetiboliVitenzi vishirikishi vikamilifuRisalaJinaAdolf HitlerAlizetiNomino za pekeeKitenzi kikuu kisaidiziMazungumzoWilaya ya Kinondoni🡆 More