Ofisa

Ofisa (pia: afisa, kutoka Kiingereza: officer) ni mtu mwenye cheo katika ofisi au katika mfumo wa shirika fulani.

Neno latumiwa hasa kwa wanajeshi wa vyeo vyenye mamlaka juu ya wanajeshi wa kawaida.

Katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania vyeo vya maofisa vimepokewa kutoka jeshi la kikoloni vikifuata mfumo wa jeshi la Uingereza.

Maofisa hutofautishwa baina ya wenye kamisheni (ambavyo ni vyeo vya juu zaidi) na maafisa wa ngazi za chini.

Maofisa kwenye JWTZ

(Cheo cha Kitanzania - (Cheo cha Kiingereza)

Vyeo vya chini

Ofisa  Ofisa  Ofisa  Ofisa  Ofisa  Ofisa 
Afisa Mteule Daraja la Kwanza
(Warrant Officer Class 1)
Afisa Mteule Daraja la Pili
(Warrant Officer Class 2)
Sajinitaji
(Staff Sergeant)
Sajini
Sergeant)
Koplo
(Corporal)
Koplo Usu
(Lance Corporal)

Maofisa wenye kamisheni

(Cheo cha Kitanzania - (Cheo cha Kiingereza)

Ofisa  Ofisa  Ofisa  Ofisa  Ofisa  Ofisa  Ofisa  Ofisa  Ofisa  Ofisa  Ofisa 

Jenerali
(General)

Luteni Jenerali
(Lieutenant General)

Meja Jenerali
(Major General)

Brigedia Jenerali
(Brigadier General)

Kanali
(Colonel)

Luteni Kanali
(Lieutenant Colonel)

Meja
(Major)

Kapteni
(Captain)

Luteni
(Lieutenant)

Luteni usu
(Second lieutenant)
Ofisa Mwanafunzi
Officer cadate)

Tags:

CheoKiingerezaMamlakaMtuNenoOfisiWanajeshi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MjombaMeta PlatformsMbuMkwawaMapafuLughaNetiboliKorea KaskaziniUongoziAustraliaVirusiSkeliUtegemezi wa dawa za kulevyaVichekeshoNguruweIsraeli ya KaleKairoChombo cha usafiri kwenye majiOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaBarua pepeHali maadaUgaidiViunganishiOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaSteve MweusiDawa za mfadhaikoMwanza (mji)Orodha ya vyama vya siasa TanzaniaSheriaHifadhi ya mazingiraMkoa wa Dar es SalaamUkoloniNomino za dhahaniaMgawanyo wa AfrikaTanganyikaRaiaViwakilishi vya urejeshiNdovuTanzania Breweries LimitedOrodha ya vyama vya kisiasa nchini KenyaSeli nyeupe za damuMkungaNeemaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoVivumishi vya -a unganifuRayvannyKimondo cha MboziTelevisheniShengChombo cha usafiriMwanamkeTungoPichaHadithi za Mtume MuhammadVivumishi vya idadiAUsultani wa ZanzibarMfumo katika sokaKiini cha atomuOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaChatGPTFasihi simuliziKichochoFasihi andishiJumuiya ya MadolaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniPaul MakondaChuo Kikuu cha Dar es SalaamKuhani mkuuSoko la watumwaPesaFonetikiKiungo (michezo)Kima (mnyama)NandyNchi🡆 More