Andorra La Vella

Andorra la Vella (Kikatalani: Andorra ya Kizee) ni mji mkuu pia mji mkubwa nchini Andorra yenye wakazi 22,035.

Andorra La Vella
Bunge la Andorra

Iko katika bonde la milima ya Pirenei kwa kimo cha m 1409. Uchumi unategemea sana utalii hasa ski miezi ya baridi.

Andorra la Vella hana uwanja wa ndege wala kituo cha treni lakini kuna huduma ya basi kwenda nje ya nchi.

Andorra La Vella Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Andorra la Vella kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AndorraKikatalaniMji mkuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WahaEe Mungu Nguvu YetuElimu ya bahariKanisa KatolikiBawasiriViunganishiOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaPhilip Isdor MpangoYoung Africans S.C.ZabibuUchawiUtumwaNamba tasaSanaaMapambano ya uhuru TanganyikaAli KibaGeorDavieAlomofuKiimboUfugaji wa kukuMungu ibariki AfrikaFasihiMbweni, KinondoniAzimio la ArushaWahayaMafumbo (semi)Madawa ya kulevyaSamakiSentensiBarack ObamaTiktokSikioBarua rasmiVipera vya semiKiraiMwakaOrodha ya Watakatifu wa AfrikaSadakaTambikoViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)FigoWakaguruNyongoSemantikiHafidh AmeirMkoa wa TangaHistoria ya KiswahiliVivumishi vya idadiArudhiNgano (hadithi)Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020IsraelClatous ChamaKumaHistoria ya WasanguHistoriaUmaskiniJakaya KikweteAndalio la somoMwenge wa UhuruOrodha ya milima mirefu dunianiAsili ya KiswahiliMethaliMimba kuharibikaChakulaJamiiUfisadiViwakilishi vya pekeeKiwakilishi nafsiTarbiaUkimwiMwanzo (Biblia)Martin LutherMohamed Hussein🡆 More