Kiestonia ni lugha ya Kifini-Kiugori nchini Estonia na Ufini inayozungumzwa na Waestonia.
Ni lugha rasmi ya Estonia. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kiestonia nchini Estonia imehesabiwa kuwa watu 1,040,000. Pia kuna wasemaji 33,100 nchini Ufini (2013).
Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiestonia iko katika kundi la Kifini. Wengine huangalia Kivõro kuwa lahaja ya Kiestonia badala ya lugha tofauti.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiestonia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kiestonia, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.