Mchezo Wino

Wino ni mchezo asilia wa watoto wa Afrika Mashariki.

Mchezo huu unashirikisha watoto watatu na kuendelea. Vifaa vinavyotumika ni chupa na mchanga ambao hukusanywa kwa wingi hadi kutengeneza kama mlima. Chupa huwekwa juu ya mlima huo.

Wachezaji wawili husimama mbali na mchanga ambao huwa katikati pamoja na mchezeshaji mmoja. Huyo anatakiwa kujaza mchanga ndani ya chupa bila kupigwa na wenzake kwa mpira; kwa ajili hiyo anaukwepa au akiudaka anaurusha mbali apate muda zaidi. Akifaulu amefunga goli.

Mchezo Wino Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wino (mchezo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Afrika MasharikiMchezoWatoto

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa MaraKitovuRihannaMohamed HusseinOrodha ya Marais wa BurundiHarmonizeBunge la TanzaniaUmaBiblia ya KikristoNyokaRiwayaWikipediaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMkoa wa NjombeUlumbiAbby ChamsXXNchiKiingerezaChatuUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaTundaBenjamin MkapaKifo cha YesuRita wa CasciaHoma ya mafuaMkutano wa Berlin wa 1885Nembo ya TanzaniaOrodha ya miji ya Afrika KusiniAlama ya barabaraniUsultani wa ZanzibarMizimuMungu ibariki AfrikaUshairiWahaKidole cha kati cha kandoWayao (Tanzania)Vipaji vya Roho MtakatifuVitenzi vishirikishi vikamilifuMajira ya mvuaJumapili ya matawiHadithiSheriaMadinaWaheheKahawiaMbiu ya PasakaUbuntuAlomofuTreniHistoria ya WasanguShengJackie ChanMwanza (mji)Hassan bin OmariMkoa wa TaboraHistoria ya TanzaniaUnyevuangaMbooKinembe (anatomia)ChadHistoria ya KanisaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziUjasiriamaliMahakamaHistoria ya WapareKadi ya adhabuOrodha ya Watakatifu wa AfrikaIjumaa KuuTovutiShomari KapombeTarehe za maisha ya YesuSaida KaroliFutiMohammed Gulam DewjiHijabu🡆 More