Wawindaji-Wakusanyaji

Wawindaji-wakusanyaji ni jina wanalopewa makundi ya watu wanaoishi bila kuzalisha chakula chao kwa njia ufugaji na kilimo kama ilivyozidi kuwa kawaida ya wengi tangu uzalishaji huo ulipoanza milenia kumi na mbili iliyopita.

Wawindaji-Wakusanyaji
Mwanamume wa Wasan wa Namibia, ambao wengi wao wanaendelea kuwa wawindaji-wakusanyaji.
Wawindaji-Wakusanyaji
Mgawo wa nyama kati ya Wambendjele.

Kwa kusongwa na wafugaji na wakulima, mara nyingi wawindaji-wakusanyaji wameishia katika maeneo yasiyofaa kwa uzalishaji, wanapoishi kwa kuhamahama, na wametazamwa na kudharauliwa kama watu wasioendelea, ingawa wanaweza kuwazidi wengine kwa maadili

Kwa sababu ya kujali usawa kati yao, Karl Marx aliita mtindo wao wa kuishi Ukomunisti wa awali.

Matarajio ya kuishi ni kufikia kwa wastani umri wa miaka 21-37 tu.

Kati ya makabila ya Afrika yaliyo maarufu kwa mtindo huo wa maisha wapo Wahadza wa mkoa wa Singida, Tanzania.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Wawindaji-Wakusanyaji  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wawindaji-wakusanyaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChakulaJinaKilimoKumi na mbiliKundiMileniaUfugajiUzalishajiWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Zama za MaweMakabila ya IsraeliBenderaKiraiPonografiaNembo ya TanzaniaWayback MachineJackie ChanSteve MweusiDar es SalaamViwakilishi vya pekeeKondoo (kundinyota)Vipera vya semiBarabaraDiamond PlatnumzKylian MbappéNguruweTashdidiFonetikiSkautiRadiBawasiriImaniUbuyuHarusiUislamuRohoJulius NyerereMkataba wa Helgoland-ZanzibarMkoa wa MbeyaOsama bin LadenKairoKitubioKitenzi kishirikishiMendeTanzania Breweries LimitedKarne ya 18Aina za udongoAlama ya barabaraniUkooLeopold II wa UbelgijiKupatwa kwa MweziMkoa wa MwanzaKuhaniOrodha ya vyama vya kisiasa nchini KenyaKiini cha atomuMji mkuuRita wa CasciaPandaKihusishiFutariVitenzi vishirikishi vikamilifuSayariNyangumiBendera ya KenyaSinagogiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuUbakajiBaraNgiriIntanetiAbrahamuKalenda ya KiyahudiKiunguliaShairiAzimio la kaziViwakilishiMeta PlatformsMillard AyoKadi ya adhabuOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMsengeHomanyongo CChama cha MapinduziTarakilishiMwezi🡆 More