Uhandisi wa umeme ni taaluma ya uhandisi inayohusika na utafiti, muundo na utumiaji wa vifaa, na mifumo inayotumia umeme na sumaku.
Iliibuka kama kazi inayotambulika mwishoni mwa karne ya 19 baada ya biashara ya telegraph ya umeme, simu na uzalishaji wa nguvu za umeme, usambazaji na matumizi.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uhandisi wa umeme, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.