Ubuddha wa Kitibeti ni mwili wa nakalafundishi za kibuddha na aina ya utaasisi wa kitibeti, ukanda wa Himalaya (Kujumlisha Tibet, kaskazini ya Nepali, Bhutan, Sikkim na Ladakh), Mongolia, Buryatia, Tuva na Kalmykia (Russia), na kaskazini mashariki ya Uchina (Manchuria: Heilongjiang, Jilin).
Hujumuisha mafundisho ya vyombo vitatu (au yanas katika kisanskriti) vya ubuddha: Hinayana, Mahayana, na Vajrayana (vijulikanavyo pia kama Tantrayana).
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ubuddha wa kitibeti, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.