Theodore Roosevelt: Rais wa Merika kutoka 1901 hadi 1909

Theodore Roosevelt (27 Oktoba 1858 – 6 Januari 1919) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani.

Miaka ya 1901 hadi 1909 alikuwa Rais wa ishirini na sita wa Marekani. Mwaka wa 1906 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani. Alikuwa Kiongozi wa chama cha kisiasa cha kijamhuri na mwanzilishi wa chama cha kisiasa cha Progressive cha 1912 ambacho hakikudumu.

Theodore Roosevelt
Theodore Roosevelt: Rais wa Merika kutoka 1901 hadi 1909
Theodore Roosevelt mnamo 1904

Muda wa Utawala
Septemba 14, 1901 – Machi 4, 1909
Makamu wa Rais Hapakuwa na naibu wa rais (1901–1905)
Charles W. Fairbanks(1905–1909)
mtangulizi William McKinley
aliyemfuata William Howard Taft

tarehe ya kuzaliwa (1858-10-27)Oktoba 27, 1858
New York City, New York, Marekani.
tarehe ya kufa 6 Januari 1919 (umri 60)
Oyster Bay, New York, Marekani.
mahali pa kuzikiwa Youngs Memorial Cemetery, Oyster Bay
chama Republican (1880–1911, 1916–1919)
ndoa
  • Alice Lee (m. 1880–1884) «start: (1880)–end+1: (1885)»"Marriage: Alice Lee to Theodore Roosevelt" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Theodore_Roosevelt)
  • Edith Carow (m. 1886) «start: (1886)»"Marriage: Edith Carow to Theodore Roosevelt" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Theodore_Roosevelt)
watoto *Alice Roosevelt Longworth
  • Theodore Roosevelt Jr.
  • Kermit Roosevelt
  • Ethel Roosevelt Derby
  • Archibald Roosevelt
  • Quentin Roosevelt
mhitimu wa Harvard University
signature Theodore Roosevelt: Rais wa Merika kutoka 1901 hadi 1909

}}

Theodore Roosevelt: Rais wa Merika kutoka 1901 hadi 1909 Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theodore Roosevelt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

18581906191927 Oktoba6 JanuariMarekaniTuzo ya Nobel ya Amani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mohamed HusseinMamaOrodha ya Magavana wa TanganyikaMaadiliGeorDavieNyegeTiktokMtakatifu MarkoVisakaleAsili ya KiswahiliMange KimambiNdiziKoloniAfrikaJamhuri ya Watu wa ChinaKilimanjaro (volkeno)Kata za Mkoa wa MorogoroVivumishi vya pekeeDaudi (Biblia)Vivumishi vya urejeshiChakulaHerufiJohn MagufuliVichekeshoKiazi cha kizunguNguruweFasihiTarbiaUKUTAUkristo nchini TanzaniaSimba S.C.DiglosiaViwakilishi vya kumilikiUundaji wa manenoBabeliRedioRisalaSamia Suluhu HassanKiongoziWaheheLughaInjili ya MarkoJinaNguzo tano za UislamuFamiliaJacob StephenAWimboNomino za kawaidaMuhimbiliSodomaWahayaEl NinyoWaluguruKiarabuTanganyika (ziwa)Nguruwe-kayaWangoniMsitu wa AmazonWema SepetuMkoa wa SingidaWajitaGongolambotoManchester CityUandishi wa barua ya simuKishazi tegemeziEdward SokoineUmoja wa AfrikaMvuaOrodha ya Marais wa KenyaOrodha ya Marais wa UgandaJoyce Lazaro NdalichakoOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoAlizetiNgeliRadi🡆 More