William McKinley (29 Januari 1843 – 14 Septemba 1901) alikuwa Rais wa 25 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1897 hadi 1901.
Kaimu Rais wake alikuwa Garret Hobart (1897-1899), na Theodore Roosevelt (tangu 1901) aliyemfuata kama Rais, McKinley alifariki wakati wa awamu yake ya pili.
William McKinley | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1897 – Septemba 14, 1901 | |
Makamu wa Rais |
|
mtangulizi | Grover Cleveland |
aliyemfuata | Theodore Roosevelt |
tarehe ya kuzaliwa | Niles, Ohio, Marekani. | Januari 29, 1843
tarehe ya kufa | 14 Septemba 1901 (umri 58) Buffalo, New York, Marekani. |
mahali pa kuzikiwa | McKinley National Memorial, Canton, Ohio |
chama | Republican Party |
ndoa | Ida Saxton McKinley (m. 1871) |
mhitimu wa |
|
Fani yake |
|
signature |
}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William McKinley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article William McKinley, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.