Tenno

Tenno ni cheo cha mfalme au kaisari wa Japani.

Kufuatana na katiba ya nchi yeye ni "ishara wa dola na wa umoja wa taifa".

Tenno
Tenno Naruhito.

Tenno wa sasa ni Naruhito (tangu mwaka 2019, alipomrithi baba yake).

Historia

Historia ya Japani inamkumbuka tenno wa kwanza kabisa aliyekuwa Jimmu mnamo 660 KK. Wataalamu wengine huwa na shaka lakini wanakubali ya kwamba watawala hao walikuwepo angalau tangu karne ya 5 BK. Hadi karne ya 19 ikulu yao ilikuwa mjini Kyoto, lakini tangu Meiji iko Tokyo.

Nasaba ya watawala wa Japani ni nasaba ya kale zaidi duniani.

Katika historia hiyo ndefu matenno walikuwa na madaraka tofautitofauti. Hata kama walitazamwa kama wakuu wa taifa hali halisi madaraka yao yalikuwa madogo wakati mwingine. Lakini kulikuwa pia na matenno walioamua kabisa juu ya siasa ya nchi kwa mfano Meiji tangu mwaka 1868.

Tags:

CheoJapaniKaisariKatibaMfalme

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KiambishiMkoa wa RuvumaSiafuKiboko (mnyama)BidiiMbooSikioUbadilishaji msimboNyangumiShairiNdege (mnyama)MalariaWizara ya Mifugo na UvuviWahadzabeWhatsAppTanganyikaHafidh AmeirMaghaniOrodha ya Watakatifu WakristoSemiMkoa wa MbeyaMafurikoMtume PetroJamhuri ya Watu wa ZanzibarInjili ya MarkoMimba za utotoniSumakuMkuu wa wilayaVivumishi vya -a unganifuLilithUpinde wa mvuaKanisaMagonjwa ya machoDubaiShahawaMuundo wa inshaNomino za kawaidaVasco da GamaAfrika KusiniTanganyika (maana)Kitenzi kishirikishiWilaya za TanzaniaHerufiTungo kishaziUsafi wa mazingiraUmaskiniLughaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaSaida KaroliVivumishi vya idadiWilaya ya Nzega VijijiniPijiniKiolwa cha anganiWahaAnwaniOrodha ya makabila ya TanzaniaMizimuNyati wa AfrikaUbongoUkristo nchini TanzaniaCleopa David MsuyaMadawa ya kulevyaBaraMapambano kati ya Israeli na PalestinaAsidiKitenziTanzaniaRuge MutahabaViwakilishi vya kuoneshaWamasaiMapenzi ya jinsia mojaMange KimambiKihusishiKiimboNomino za dhahaniaKisima🡆 More