Kyoto

Kyoto ni mji wa Japani uliokuwa mji mkuu wa nchi kati ya 794 na 1868.

Ilikuwa makao makuu ya Tenno (Kaisari) wa taifa. Iko takriban kilomita 400 kusini magharibi ya Tokyo kwenye kisiwa cha Honshu.

Kyoto
Kituo cha reli Kyoto.
Kyoto
Hekalu ya Shinto mjini Kyoto.
Kyoto
Kyoto, 1891

Sasa Kyoto ni mji mkubwa wa tatu nchini iliwa na wakazi milioni moja na nusu. Ni makao makuu ya mkoa wa Kyoto. Kuna taasisi za utamaduni na elimu pamoja vyuo vikuu.

Kyoto ni kati ya miji ya kale ya Japani. Kuna majengo mengi ya kihistoria kama mahekalu, majumba ya matenno na nyumba za kidesturi. Majengo kadhaa yameigizwa na UNESCO katika orodha ya urithi wa dunia.

Mazingira ya Kyoto pana milima mingi. Imepoteza cheo cha mji mkuu wakati Tenno Meiji alipohamisha makao yake kutoka hapa kwenda boma la Edo iliyokuwa Tokya baadaye.

Tazama pia

Viungo vya nje

Kyoto  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kyoto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kyoto 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

7941868HonshuJapaniMjiTokyo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MmomonyokoSongea (mji)Historia ya KiswahiliYombo VitukaMashuke (kundinyota)TamthiliaKaterina wa SienaOrodha ya Marais wa UgandaWapareMtoto wa jichoTarakilishiDhamiraShuleSanaa za maoneshoIdi AminDaudi (Biblia)Orodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaAlama ya uakifishajiP. FunkMishipa ya damuKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniBendera ya ZanzibarIntanetiMaambukizi ya njia za mkojoSilabiPonografiaOrodha ya viongoziSteve MweusiAdhuhuriNduniKanadaMaigizoWizara za Serikali ya TanzaniaLondonViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Mlipuko wa virusi vya corona 2019-20Vipera vya semiPiramidi za GizaMajira ya mvuaLiverpool F.C.Mitume na Manabii katika UislamuMtakatifu PauloHalmashauriJoziShambaTundaJohn Raphael BoccoMaambukizi nyemeleziMbwana SamattaJamhuri ya Watu wa ChinaFigoAdolf HitlerKomaMwakaWikipediaHisiaUmmaTabiaHistoria ya KanisaUsawa (hisabati)ShetaniNguruweChuiUchawiMselaJay MelodyMwanamkeDubai (mji)Vivumishi vya kuoneshaTungo kiraiMpira wa miguuDini asilia za KiafrikaUtataKinembe (anatomia)Kata (maana)UjasiriamaliMbaraka MwinsheheIsrael🡆 More