Subhash Kak (amezaliwa 26 Machi 1947) ni mwanafizikia, mwandishi, mshairi na mwanafalsafa kutoka nchini Uhindi.
Baadaye alihamia Marekani. Maandiko yake yahusu hasa ujuzi wa fizikia wakati wa dini za kale na historia ya Wahindi. [onesha uthibitisho]
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Subhash Kak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Subhash Kak, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.