Soweto: Mji wa Afrika Kusini

Soweto ni sehemu ya jiji la Johannesburg, Afrika Kusini.

Soweto: Mji wa Afrika Kusini
Soweto.
Soweto: Mji wa Afrika Kusini
Mtaa wa vibanda katika Soweto.
Soweto: Mji wa Afrika Kusini
Nyumba alipokaa Nelson Mandela 1946 - 1962 pale Soweto, Vilakazi Street.

Jina hilo ni kifupi cha Southwestern townships yaani "mapambizo ya kusini-magharibi". Hayo yalianzishwa wakati wa apartheid kama makazi ya Waafrika pekee, na kwa hiyo yalitazamwa kuwa "mapambizo meusi" ya Johannesburg.

Kati ya miaka 1983 na 2002 Soweto ilikuwa manisipaa ya pekee, baadaye imekuwa tena sehemu ya jiji la Johannesburg.

Wakati wa sensa ya mwaka 2008 idadi ya wakazi ilikuwa milioni 1.3 na hii inalingana na theluthi moja ya wakazi wote wa jiji hilo.

Ndani ya Soweto kuna vitongoji mbalimbali, idadi inatajwa mara kuwa 29, mara 34. Kati yake, vingine ni maeneo maskini sana, hata mitaa ya vibanda; vingine vina nyumba nzuri.

Soweto ilikuwa kitovu cha upinzani wa wanafunzi dhidi ya apartheid kwenye mwaka 1976.

Tanbihi

Kujisomea

  • Philip Bonner & Lauren Segal (1998). Soweto: A History. South Africa: Maskew Miller Longman. ISBN 0-636-03033-4. 
  • Dumesani Ntshangase; Gandhi Malungane; Steve Lebelo; Elsabe Brink; Sue Krige (2001). Soweto, 16 June 1976. South Africa: Kwela Books. ISBN 978-0-7957-0132-0. 
  • Glaser, Clive (2000). Bo Tsotsi – The Youth Gangs of Soweto. United Kingdom: James Currey. ISBN 978-0-85255-640-5. 
  • Grinker, David (2014). Inside Soweto: Memoir of an Official 1960s-1980s. Johannesburg: Eastern Enterprises. ISBN 978-1-29186-599-8. 
  • Harrison, Philip, and Kirsten Harrison (2014) “Soweto: A Study in Socio-Spatial Differentiation.” In Philip Harrison, Graeme Gotz, Alison Todes, and Chris Wray (eds) Changing Space, Changing City: Johannesburg after Apartheid, Johannesburg: Wits University Press, pp 293–318. https://doi.org/10.18772/22014107656.19
  • Holland, Heidi (1995). Born in Soweto – Inside the Heart of South Africa. Penguin. ISBN 978-0-14-024446-5. 
  • Hopkins, Pat (1999). The Rocky Rioter Teargas Show. Cape Town: Zebra. ISBN 1-86872-342-9. 
  • Stephen Laufer; Matada Tsedu (2007). Soweto – A South African Legend. Germany: Arnoldsche. ISBN 978-3-89790-013-4. 
  • Tessendorf (1989). Along the Road to Soweto: A Racial History of South Africa. Atheneum. ISBN 0-689-31401-9.  Unknown parameter |url-access= ignored (help)
  • French, Kevin John, James Mpanza and the Sofasonke Party in the development of local politic in Soweto, unpublished M.A. dissertation, University of the Witwatersrand, Johannesburg, 1983.

Viungo vya Nje

Soweto: Mji wa Afrika Kusini 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Soweto: Mji wa Afrika Kusini  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Soweto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Afrika KusiniJijiJohannesburg

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TashtitiRiwayaUNICEFNileMkoa wa MaraOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaDhamiriJustin BieberFiston MayeleUtapiamloAlama ya uakifishajiMsalabaMichelle ObamaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaViunganishiThe MizMkoa wa DodomaMnara wa BabeliNguzo tano za UislamuOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaKemikaliMunguAsiaYouTubeAfrikaChadMamlaka ya Mapato ya TanzaniaSemantikiImaniVitendawiliPunyetoSaratani ya mlango wa kizaziMtume PetroNomino za pekeeKamusi za KiswahiliMashariki ya KatiUnyanyasaji wa kijinsiaMkoa wa ShinyangaNdegeUgonjwa wa uti wa mgongoHaikuYesuNamba ya mnyamaTungo kishaziMuungano wa Tanganyika na ZanzibarNomino za wingiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaJakaya KikweteNdoa katika UislamuMalipoPasifikiAgano JipyaMkoa wa KigomaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliInshaTungoNg'ombeVivumishiMariooTanganyikaZuhura YunusBunge la Afrika MasharikiTanzania28 MachiNenoKiunguliaMisemoBawasiriSiafuMadinaMwanzoTendo la ndoa🡆 More