Shirika La Huduma Kwa Wanyama Pori Ya Kenya

Shirika la Kenya la Wanyama Pori (KWS - Kenya Wildlife Service) lilianzishwa mwaka 1990.

Inasimamia uasilia na viumbe hai wa nchi, ikilinda na kuhifadhi flora na fauna.

Huduma ya Wanyamapori Kenya,njia ya Kupanda Mlima - lango la Hifadhi
Huduma ya Wanyamapori Kenya,njia ya Kupanda Mlima - lango la Hifadhi

KWS inasimamia mbuga za wanyama za kitaifa na hifadhi nchini Kenya. Fedha zinazokusanywa kama ada ya kiingilio hutumika kusaidia uhifadhi wa mimea na wanyama ndani ya hifadhi au mbuga.

Mbuga za Kitaifa na za Hifadhi

Kenya ina mbuga na hifadhi 35 teule za kitaifa:

Mipango ya Uhifadhi

KWS inaendesha mipango maalum kusaidia viumbe na makazi ya Kenya ambayo yako kwenye hatari hasa. Wana mipango ya uhifadhi wa sehemu za chemchemi na misitu,na miradi maalum ya tembo na kifaru kusaidia kuwaokoa kutoka kwa wawindaji. Hirola, ambayo iko katika hatari ya kupotea, pia inafuatiliwa.

Ndani ya KWS kuna huduma kadhaa, kila moja ikiwajibika kwa eneo tofauti la kazi:

Huduma ya Wanyama Pori ya Jamii

Hili tawi la KWS hufanya kazi nje ya hifadhi za taifa. Wao badala hufanya kazi katika maeneo kama vile kanda za wanyamapori, na kufundisha jamii wanaoishi huko kuhamasisha uhifadhi na kuchunga rasilimali zao.

Huduma za Usalama

Kazi ya huduma hii ni kuondoa uwindaji katika hifadhi za kitaifa, na kukomesha biashara haramu.

Huduma za Matibabu ya Wanyama

Huduma hii huhakikisha kuwa afya ya kuzaliana ya wakazi wa aina inazingatiwa kote nchini.

Mafunzo

KWS ina kituo cha mafunzo mjini Naivasha. Watumishi wa KWS hufundishwa hapa, na pia mafunzo kwa wanafunzi wa nje wa ikolojia na utalii.

Elimu

KWS inendesha vituo kadhaa vya elimu:

  • Nairobi Safari Walk
  • Kituo cha Elimu cha Nairobi
  • Kituo cha Elimu cha Ziwa Nakuru
  • Kituo cha Elimu cha Tsavo Mashariki
  • Kituo cha Elimu cha Tsavo Magharibi

Hizi ziko ndani ya Hifadhi za Taifa, na huendesha mipango ya kuhamasisha watu kuhudumia na kulinda mazingira yao. Imelengwa kwa wananchi, hasa makundi ya shule, lakini ni wazi kwa mtu yeyote.

Angalia pia

Marejeo

Viungo vya nje

Tags:

Shirika La Huduma Kwa Wanyama Pori Ya Kenya Mbuga za Kitaifa na za HifadhiShirika La Huduma Kwa Wanyama Pori Ya Kenya Mipango ya UhifadhiShirika La Huduma Kwa Wanyama Pori Ya Kenya MafunzoShirika La Huduma Kwa Wanyama Pori Ya Kenya ElimuShirika La Huduma Kwa Wanyama Pori Ya Kenya Angalia piaShirika La Huduma Kwa Wanyama Pori Ya Kenya MarejeoShirika La Huduma Kwa Wanyama Pori Ya Kenya Viungo vya njeShirika La Huduma Kwa Wanyama Pori Ya KenyaUasiliaViumbe hai

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

GoogleKutoka (Biblia)ImaniKamusiMfumo wa upumuajiSarufiPembetatu ya BermudaUkristoMkanda wa jeshiLughaMawasilianoPapaMkoa wa MorogoroRiwayaBarua rasmiMkondo wa umemeMkoa wa MbeyaMizimuWalawi (Biblia)NgonjeraKamusi ya Kiswahili sanifuNomino za kawaidaAina za manenoCloudy with a Chance of MeatballsSimon MsuvaNyotaJipuUkatiliKito (madini)Tungo sentensiMitishambaSimbaKipindupinduBendera ya EthiopiaUfaransaShahawaFNyegereWayao (Tanzania)BinadamuKisaweTumainiFamilia ya Jakaya KikweteUpinde wa mvuaUturukiUjimaTabianchiDodoma (mji)Dawa za mfadhaikoTungo kiraiSaratani ya mlango wa kizaziKuraniKifaruNelson MandelaOrodha ya nchi za AfrikaUchumiAthi River MiningSabatoWasukumaKabilaSadakaMkoa wa GeitaVichekeshoHatua ya utakasoMagonjwa ya machoNabii IsayaJinsiaKoroshoMchungaji mwemaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiVita ya wenyewe kwa wenyewe BurundiVieleziViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)🡆 More