Hifadhi ya Taifa ya Meru imekuwa yenye shughuli kabambe na yenye watalii chungu nzima waliofurika furifuri ili kujionea maajabu ya Mlima Kenya.
Huku kuna wanyama si haba ambao hutokea misitu iliyokaribia Mlima Kenya.
Huku watalii huzuru ili kuikwea milima na kuipata hewa safi.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Meru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Hifadhi ya Taifa ya Meru, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.