Rupert Wa Salzburg

Rupert wa Salzburg (pia: Ruprecht, Rudbertus, Roudbertus, Rupertus, Hrodperht, Hrodpreht na Robert; 660 hivi - Salzburg, Austria, 27 Machi 710) alikuwa mmonaki wa Kikolumbani, halafu askofu mmisionari huko Rhineland, Bavaria na Austria, akianzisha pia monasteri kuendelea kueneza Ukristo.

Rupert Wa Salzburg
Mt. Rupert akishika chombo cha chumvi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Machi.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Bibliotheca hagiographica Latina, (Brussels, 1899), n. 7390-7403
  • W. Levison, “Die älteste Lebensbeschreibung Ruperts von Salzburg” in Neues Archiv für ältere deutsche Geschichtskunde, xxviii. 283 seq.
  • Hauck, Kirchengeschichte Deutschlands (3rd ed.), i. 372 seq.

Viungo vya nje

Rupert Wa Salzburg  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Rupert Wa Salzburg Tazama piaRupert Wa Salzburg TanbihiRupert Wa Salzburg MarejeoRupert Wa Salzburg Viungo vya njeRupert Wa Salzburg27 Machi660710AskofuAustriaBavariaKolumbaniMmisionariMmonakiMonasteriRhineland-PalatinateSalzburgUkristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SamliUtumwaVieleziSimu za mikononiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKibonzoAsili ya KiswahiliUyahudiKadi za mialikoRafikiAbedi Amani KarumeShabaniMnururishoAntibiotikiAzimio la ArushaKuraniMamba (mnyama)COrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaNathariKishazi tegemeziChuraMapafuMajeshi ya Ulinzi ya KenyaBabeliElimuMuziki wa dansi wa kielektronikiMbeguWembeLionel MessiHistoria ya AfrikaBawasiriSaratani ya mlango wa kizaziNomino za pekeeMbooCristiano RonaldoFatma KarumeSanaa za maoneshoMaishaShelisheliMbuniBiashara ya watumwaDubai (mji)TakwimuMapinduzi ya ZanzibarHoma ya matumboMarie Antoinette13MahakamaWikiFalsafaPasaka ya KikristoViwakilishi vya pekeeMasharikiUchambuzi wa SWOTWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiNomino za wingiKipepeoBaraza la Maaskofu Katoliki TanzaniaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiJulius NyerereTabianchi ya TanzaniaLahajaTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaUtumbo mpanaHeshimaMsamiatiKitomeoUtalii nchini KenyaUandishi wa inshaMazingiraSheriaFasihiMadiniMlo kamiliSimon MsuvaWapare🡆 More