Ruby

Ruby ni lugha ya programu.

Iliundwa na Yukihiro Matsumoto na ilianzishwa tarehe 21 Desemba 1995. Iliundwa ili kurahisisha kujifunza lugha za programu. Leo tunatumia Ruby 2.7.0. Ilivutwa na Python.

Ruby
Wiki KiswahiliRuby logo
Shina la studio namna :namna nyingi
Imeanzishwa Desemba 21 1995 (1995-12-21) (umri 28)
Mwanzilishi Yukihiro Matsumoto
Ilivyo sasa Ilivutwa na: Ada, C++, CLU, Dylan, Eiffel, Lisp, Lua, Perl, Python, Smalltalk, Basic

Ilivuta: Clojure, CoffeeScript, Crystal, D, Elixir, Groovy, Ioke, Julia, Mirah, Nu, Ring, Rust, Swift

Mahala Yukihiro Matsumoto, et al.
Tovuti https://www.ruby-lang.org/en/

Historia

Ilianzishwa 21 Desemba 1995 nchini Japani. Kisha kitabu cha kwanza kilichapishwa nchini Japani mwaka wa 1999; kiliitwa "Lugha ya programu Ruby inaozingatiwa kuhusu kipengee (オブジェクト指向スクリプト言語 Ruby).

Falsafa

Namna ya Ruby ni namna nyingi kama lugha za programu nyingi.

Sintaksia

Sintaksia ya Ruby ni rahisi sana. Ilivutwa na sintaksia ya Pearl, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya Ruby

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

$ irb irb(main):001:0> puts 'Jambo, Ulimwengu' Jambo, Ulimwengu 

Programu kwa kuchapa orodha ya maneno.

array = [1, 'hi', 3.14] array.each {|item| puts item } # prints: # 1 # 'hi' # 3.14 

Marejeo

Tags:

Ruby HistoriaRuby FalsafaRuby SintaksiaRuby Mifano ya Ruby MarejeoRuby199521 DesembaLughaLugha ya programuProgramuPython (Lugha ya programu)Tarehe

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kitenzi kikuuRufiji (mto)PalestinaKifua kikuuTafsiriOrodha ya Marais wa KenyaMsituDiniWakingaHuduma ya kwanzaInjili ya MarkoViwakilishi vya kuoneshaMnururishoMohammed Gulam DewjiUchumiNevaAsili ya KiswahiliNominoYanga PrincessLahajaMtandao wa kompyutaMajina ya Yesu katika Agano JipyaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaWayahudiKiarabuJoseph ButikuMaajabu ya duniaKisimaHistoria ya ZanzibarKiunguliaMbossoUsafi wa mazingiraJohn MagufuliMuundoMtakatifu PauloEdward SokoineC++MbeyaHaitiAmri KumiHaki za watotoUmoja wa AfrikaBabeliMimba kuharibikaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaAthari za muda mrefu za pombeLeonard MbotelaMbagalaPasakaHadithi za Mtume MuhammadBaraUshairiMagonjwa ya machoUfugajiWilaya za TanzaniaStadi za maishaTreniYesuHoma ya mafuaRupiaBendera ya TanzaniaLilithInsha za hojaSarufiMapenzi ya jinsia mojaHistoria ya KanisaRuge MutahabaUajemiSikukuu za KenyaNguruwe-kayaNdoa katika UislamuKondomu ya kikeUtendi wa Fumo Liyongo🡆 More